Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Neno udini ni silaha kubwa anayoitumia, pamoja na kwamba haujajionyesha kihivyo, hakuna mgawanyiko kihivyo, amekosa silaha za kutumia ili kuwapelekesha watz anasema kulikuwa na udini, nikiangalia kwa undani naona hakuna udini wowote uliokuwa unatumika..sasa nashindwa kumwelewa.