Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

Wewe ndio aina ya vijana ambao huleta mapinduzi makubwa sana kifikra.

Nimewaona baadhi ya wachangiaji wakiongea upuuzi mtupu huku bado wakiendelea kuilaumu serikali tu kwa failure zao.

Keep it up bro na hawa wengine watalalamika milele.
 
Kama sio babako basi utakua unakula ulaji wa shemeji yako unamsadia dadako ku kuna nazi other wise ilibidi babako angekupiga nyeto chooni kuliko kuzaa uchafu kama ww duniani
Umefikiria mkuu kabla ya kuandika hiki ulichoandika ?
 
Umefikiria mkuu kabla ya kuandika hiki ulichoandika ?
Mwenye mafanikio siku zote hajitangazi hio ndo nature ya reality, huyu ni kada tu wa chama alietumwa kubrain wash watu, yy kinamuuma nini vijana kulalamika
 
Bora mie mgando, at least nipo solid kuliko ww empty kabisaa unae abudu wanasiasa, sishangai unatetea mlo wako
😂😂😂 Siasa za vyama pinzani zimekuathiri kijana. Mimi sijasema kua naabudu wanasiasa, achana na hilo pia sijaongelea siasa hata kidogo kwenye comment yangu. Nashangaa unanihusisha na vijana wa lumumba.

Nimesema tu vijana wa sasa wengi wanajishughulisha na sio kukaa kulaumu serikali bila kazi yoyote au wewe umeelewaje??
 
Back
Top Bottom