peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nchi ngumu sana hii mkuu acha tukatafute ugali wa watoto.Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,
Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Prof.Mruma toka lini aliwahi kuwa Waziri??Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Kana hakuwahi kuwa Waziri kaenda kama nani?Prof.Mruma toka lini aliwahi kuwa Waziri??
Ni Professorial rubbish alijisemea Lissu.Prof.Mruma toka lini aliwahi kuwa Waziri??
Kaenda wapi?? ,nimeeleza kuwa hii habari haijakamilika lete full habari tuichambueKana hakuwahi kuwa Waziri kaenda kama nani?
Hii hapa nayo utasema haijakamilikaHii habari IPO bias,haijakamilika hata video inaoneka imeunganishwa vipisi pisi.lete taarifa zote za habari hii
Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
SAMIATanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Jamani mpumzisheni basi,ahahaaaaaTanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Hawa wajinga Kwa Sasa ,tuwaseme wazi wazi kua ni wajingaaaa, huku tukiendelea kutafuta Ugali wetu tu!!.Nchi ngumu sana hii mkuu acha tukatafute ugali wa watoto.
Huyu alijitahidi, yule mwenzie alivyobanwa akasema Jana yake alikua na homa hivyo hakua amepata muda wa kusoma documents hahahahahaha as if hio document walipewa walivyofika hahahahhaahah hata Binti yangu asingeweza kujibu ujinga uleTanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Kama hujui kitu kaa Kimya.Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Una bando nikuwekee video zote tatu hapa? Au unabwabwaja tu?Hii habari IPO bias,haijakamilika hata video inaoneka imeunganishwa vipisi pisi.lete taarifa zote za habari hii
Usitake kutafutiwa kika kitu shughlisha akili zako mkuu huu ni muda wa kusaka noti.Kaenda wapi?? ,nimeeleza kuwa hii habari haijakamilika lete full habari tuichambue