Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

Jamaa walikua wanawaza perdiems mpya za serikali za nje ya nchi hahahahha
Unajijua wewe lugha ya malkia huiwezi ila sababu ya perdiem unang'ang'ania kwenda mwishowe nchi inashindwa kesi na kulipa hela kibao tu sababu ya tamaa zako za perdiem.

Kwa hizi clips hawa jamaa wafilisiwe tu
 
Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.

Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.

Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajijua wewe lugha ya malkia huiwezi ila sababu ya perdiem unang'ang'ania kwenda mwishowe nchi inashindwa kesi na kulipa hela kibao tu sababu ya tamaa zako za perdiem.

Kwa hizi clips hawa jamaa wafilisiwe tu
HAPANA, hawa wanyongwe Hadi kufa
 
Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,

Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI🤣🤣🤣 .

Embu Fikiria,

Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne 🤣🤣.


Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya

Nape 🤣 , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )

Makamba 🤣 huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)

JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.


mtaongezea wengine !!!!!!!!


Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .



sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? 🤣🤣🤣


Tunaongozwa na wajinga sana, vilazaa, mbumbumbuuuuuuuuuuu wakutupwa !!.
Tulia basi mbona akina George Bush walikuwa tu wa kawaida na amekuwa raisi wa taifa kubwa nazungumzia Bush mtoto sio baba maana baba alikuwa genius .
 
Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.

Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.

Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Mamaaaaaaah Sasa apa tumepigawa chenga kidogo Chali je nchi itakua ktk Hali gani ufikirifu ni mgumu kuliko utendaji
 
Basi utateseka sana.
Mana bado unaamini kwenye makaratasi.
Hao uliowataja wote tayari washatoboa kimaisha, wewe uko busy kukandia elimu zao. Haya we msomi usomi wako umekusaidia nn ikiwa mpk sasa unaongozwa na vilaza!
Yaan hapa sizungumzii makaratasi, makaratasi hata hao Vilaza wanayo.

Mimi nazungumzia Uwezo wa akili ,uwezo ambao huyaongoza Maisha ya mwanadam, Uwezo ambao humfanya mwanadam kutumia Taaluma yake ipasavyo na kuleta matokeo chanya Kwa Kila jambo linalohusiana na taaluma yake.


Kutoboa??? Hata Watoa ndagu wanatoboa, ila hakuwafanyi wasionekane ni Mabwegeee, bwege ni bwegeeee na unazeeka na Ubwege wako.

Nmeeleza hapo juuu, hao wajinga wamepata Uongozi na nyadhifa kubwa, Kwa sababu ya Wazazi wao, na Kwa sababu za kijinga jinga kama hizo kua Mwanamke, kua Mzanzibar n.k.
 
Tulia basi mbona akina George Bush walikuwa tu wa kawaida na amekuwa raisi wa taifa kubwa nazungumzia Bush mtoto sio baba maana baba alikuwa genius .
Bush mtoto licha ya ukilaza wake, alikua Rais Kwa sababu wao Wana Mfumo ambao unasimamiwa na Mabunge,na wabunge wao ndio hao wazungu unaowaona wanamchachafyaaa Prof Mruma 🤣🤣🤣
 
Hii habari IPO bias,haijakamilika hata video inaoneka imeunganishwa vipisi pisi.lete taarifa zote za habari hii
Jombaa unahitaji bando na kujua lugha ya malikia. iyo ishu ilikua live unachokiona hapo ni technolojia. Kwenye hicho kikao walikua wamekaa viti na angle tofauti so kamera na tech zikawaweka pamoja
 
Mkuu samaki mkunje angali mbichi, kule tusipeleke wanasheria waliosomea Kayumba waka graduate UDSM labda, tutafute ambao wana background ya nje.
Unafikiri tatizo ni Kayumba au background za nje???

Tatizo letu kubwa ni kufanya vitu kwa mazoea na kujuana.

Watu wanapewa wadhifa sababu ya kumjua fulani na sio sababu ya uwezo wao kiufanisi/utendaji.

Tatizo linakuja profesa anabebwa toka chini mpaka juu. Wale wanaokuja mbeleni akiwa yupo kileleni tayari huwa hawajui chimbuko lake na kuchukulia uwepo wake katika wadhifa wajuu na ile mi title ya Uprofessor kuwa tayari ni mbobezi wa field yake kutokujua yupo alipo sababu alijuana na Mkapa ambae akamuchia maagizo Kikwete kuwa asimtupe ambae nae akampasia mwingine.

Wapo wasomi wengi sana ambao wana uelewa na ufanisi wa mambo ila hawamjui Mkapa au Kikwete hivyo kuishia kuajiriwa na makampuni binafsi au kwenda kufanya kazi kampuni za nje.

Usistaajabu consulting expert wa hao wazungu waliomburuza Mruma ni Mtanzania aliesomea UDSM na sasa kaajiriwa nje.

Urasimu ndio unatumaliza.
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Acha uongo.Mruma hajawahi kuwa waziri.Waziri kipindi hicho alikuwa Prof Muhongo.Na Mruma alikuwa Director wa GST.Sema Prof Mruma alikuwemo pia kwenye jopo la maamuzi ya kutoa Leseni ila hakuwa waziri.Hivi kwa nini mtu unadiriki kusema uongo namna hii?
 
Kana hakuwahi kuwa Waziri kaenda kama nani?
Yupo kwenye bodi za maamuzi pia ni mtaalamu wa miamba.Alikwenda kama mtaalam wa miamba yeye ndo anajua estimation ya madini yaliyomo kwenye eneo.Kumbuka hawa waliwahi kupewa leseni kipindi cha JK,na wakafutiwa kipindi cha Magufuli. Inshort Mruma alikuwepo pote kwenye jopo la kuruhusu Leseni na kwenye jopo la kufuta leseni.
 
Yupo kwenye bodi za maamuzi pia ni mtaalamu wa miamba.Alikwenda kama mtaalam wa miamba yeye ndo anajua estimation ya madini yaliyomo kwenye eneo.Kumbuka hawa waliwahi kupewa leseni kipindi cha JK,na wakafutiwa kipindi cha Magufuli. Inshort Mruma alikuwepo pote kwenye jopo la kuruhusu Leseni na kwenye jopo la kufuta leseni.
Hii mikataba ya kijinga iliingiwa kipindi cha JK yote
 
Athari moja ya upumbavu ni kuhisi hata mpumbavu alierevuka kidogo kuwa ni genius.
Ni sawa unapomiliki baiskeli na kumuona mwenye pikipiki ni tajiri.

Kilichotokea kwa Mruma ni wapumbavu waliohisi ule Uprofesa wake ni werevu wa hali ya juu (kulinganisha ni ujinga wao) na kumuona atafaa kuwakilisha kutokugundua huyo Mruma ni mpumbavu alierevuka kidogo baina ya wapumbavu zaidi.

Upumbavu unaanzia juu kabisa.
Kweli tupu
 
Huu ndo ukweli,Sema Magufuli ndo akaifuta.Hapo ndo kosa sasa .Maana hata kama ni mikataba ya Hovyo ndo ilikuwa ishapitishwa.Magufuli alitakiwa kufumba macho na kuacha mengine yapite.Ni kama wa vyeti feki tu.
Mbona kipindi cha Magu hizi kesi hazikuwepo? JK na genge lake wananufaika na hizi kesi haswa
 
Back
Top Bottom