Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,

Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .

Embu Fikiria,

Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne [emoji1787][emoji1787].

Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya

Nape [emoji1787] , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )

Makamba [emoji1787] huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)

JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina,

!!.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Acha uongo bhana....Mruma hajaenda pale kama wakili ila ni shahidi tu.
 
Huyu alijitahidi, yule mwenzie alivyobanwa akasema Jana yake alikua na homa hivyo hakua amepata muda wa kusoma documents hahahahahaha as if hio document walipewa walivyofika hahahahhaahah hata Binti yangu asingeweza kujibu ujinga ule
Oyaa fungueni uzi Mmoja, "Uzi maalumu wa Prof Mruma".

Alafu mtupie tuvideo twoteeee .

Navyowajua wabongooo, tutaziedit Kwa maneno balaa,🤣🤣🤣🤣
 
Yupi huyo 😅😅😅
 
Hahahaha hawawezi ku-edit kwenye hili jamaa wametuangusha mnooooo. Ukute hatujawahi kushindwa kesi Bali ni ujinga tu wa aina ya watu tunaowatuma
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Prof Mruma hajawahi kua Waziri, labda kama nimepoteza kumbukumbu
 
Hahahaha hawawezi ku-edit kwenye hili jamaa wametuangusha mnooooo. Ukute hatujawahi kushindwa kesi Bali ni ujinga tu wa aina ya watu tunaowatuma
🤣🤣🤣🤣 Kwan unadhan hizi kesi tunashindwa Kwasababu gan???.

Hawa Vilaza manyoko zao, hapo tayari limeshaingiziwa Mpungaaaaa mrefuuuu

Wakili Msomi Mwakabusi ametuambia tuwaiite, Mabwegeee🤣🤣🤣.

Samia naye na litoto lake , lilipata Sifuri, miaka ya mbele utasikia ni Waziri🤣🤣🤣
 
Embu Fikiria,

Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne 🤣🤣.
Hiki ndio kiini cha kila tatizo kwa sasa.

Hili namithilisha na kupunguza sauti ya simu ya bibi yako mzee halafu anakupa elfu 5 upeleleke kwa fundi.
Sio kuwa bibi ni mjinga, tatizo bibi hana uelewa wa mambo ya simu.

Sasa mtu mwenye elimu ya QT akipelekewa mikataba na maprofesa lazima akubali tu maana ukomo wake wa kuchanganua mambo unaishia pale aliposoma what is Geography.
 
Vile viengereza (lafudhi) za wale watasha wanavyokoroga maneno ukute hatujui hata wanauliza nini tunabaki tunajibu tunajikoroga.
Jamaa walikua wanawaza perdiems mpya za serikali za nje ya nchi hahahahha
 
Mbona wanasema siyo yeye??Wanasema ni mtu ndani ya kitengo cha madini!
 
Hiki ndio kiini cha kila tatizo kwa sasa.

Hili namithilisha na kupunguza sauti ya simu ya bibi yako mzee halafu anakupa elfu 5 upeleleke kwa fundi.
Sio kuwa bibi ni mjinga, tatizo bibi hana uelewa wa mambo ya simu.

Sasa mtu mwenye elimu ya QT akipelekewa mikataba na maprofesa lazima akubali tu maana ukomo wake wa kuchanganua mambo unaishia pale aliposoma what is Geography.
Na anakubali na KUSAINI Kwa sababu tayari ana inferior complexity ilotokana na Uelewa kiduchuuuuuuuuu.

Uliwah jiuliza Kwa nn Huwa anakimbilia kusema "Na hili nalo kalitazameni?????.

Yaan Hawa vilazaa tuwasemeee waziwazi mpaka Ubwege wao uwafanye watupishe Mamaeee.

Kwenye Vyombo vya Dola Nako ndio wamekaa vilazaaaaaaa wakubwa, matokeo yakee yanafanya wanatukandamiza Kwa risasi 🤣🤣
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Mwamba Una hasira sio kitoto
 
Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,

Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .

Embu Fikiria,

Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne [emoji1787][emoji1787].

Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya

Nape [emoji1787] , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )

Makamba [emoji1787] huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)

JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.

mtaongezea wengine !!!!!!!!

Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .

sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tunaongozwa na wajinga sana, vilazaa, mbumbumbuuuuuuuuuuu wakutupwa !!.
Basi utateseka sana.
Mana bado unaamini kwenye makaratasi.
Hao uliowataja wote tayari washatoboa kimaisha, wewe uko busy kukandia elimu zao. Haya we msomi usomi wako umekusaidia nn ikiwa mpk sasa unaongozwa na vilaza!
 
Back
Top Bottom