Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

Ni kweli,na Mruma alishiriki pia .Alikuwa GST kipindi hicho.Sema ndo Rais yeye ndo kila kitu.Hata kitaaluma unaona haipo sawa ila inabidi ufuate maamuzi ya Rais.
Kama ni mzalendo unajihuzulu, Huyu Mruma ni marafiki sn na JK hivyo wanapiga deal haswa kupitia hizi kesi za kijinga
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Nimekua mfutiajiwa siasa za Tanzania bkaribu miaka 20 sasa, sijawahi ona mruma akawa waziri, labda kipindi cha mwalimu na mwinyi.
 
Kama ni mzalendo unajihuzulu, Huyu Mruma ni marafiki sn na JK hivyo wanapiga deal haswa kupitia hizi kesi za kijinga
Hahaha Bongo hiyo haipo.Mtu anajali yeye na vizazi vyake.Kama anaingiza pesa ya kusecure vizazi sita hivi,ya nini ahangaike kuwa mzalendo?Hapo ndo tatizo lipo.Kama hao kina Mruma wanalipwa per diem, ticket za ndege tena first class kwenda na kurudi,hôtel nyota tano .Hapo uzalendo wao haupo.
 
Hawa watu wanatakiwa wafungwe haraka
 
Nimefika mahali kujiuliza kuwa yule bibi kule kwao akipenda kugombea Urais atachaguliwa Kweli?

Sisi Ana tupeleke wapi Iwapo huko kwao hakubaliki kuwa kiongozi kwa kupitia ile dini yake?
 
Ni kweli,na Mruma alishiriki pia .Alikuwa GST kipindi hicho.Sema ndo Rais yeye ndo kila kitu.Hata kitaaluma unaona haipo sawa ila inabidi ufuate maamuzi ya Rais.
Aliyeingia hii mikataba mibovu ni JK na anayelipa fidia ni Saa100.

Saa100 na JK ni Uji na mgonjwa.

Hatuoni Tanganyika tunapigwa!!!
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Lini Profesa Mruma alikua waziri?
 
*Professor Mruma, Alipeleka uongo mwingi sana kwa Magufuli...

Sasa yamemrudi kwa aibu kubwa ya kuonyesha uwezo wake mdogo sana.

Hata English hajui! Hata kidogo.
 
Anaulizwa swali badala ya kujibu ye anashika kifua
 
Back
Top Bottom