Ni nani aliyetafuna fedha za zawadi ya Kombe la CRDB?

Ila Yanga na Mashabiki wake!!!

Hivi tangu muanze kudanganywa na hao viongozi wenu kwenye masuala ya mikataba ya wachezi na kesi wanazoshindwa kila kukicha hamjawahi kugundua kwamba viongozi wenu ni vilaza?

Sema nyie lengo lenu ni Karia atoke hata kama mnaona viongozi wenu ndiyo wanaofanya madudu .
 
Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache.
Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
Timu zenyewe huwa zinakopa hela TFF. Nakumbuka enzi za kocha Zahera, Yanga walikopa sana hela kutoka TFF kwa ajili ya kushiriki michuano ya CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…