Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Don't stop till u get enough

Beat it

Bill Jean.

Black or white

Liberian Girl.

You are my world.

Ngoma zangu nazikubali wakati wote za M.J

Wakati anafariki nilikuwa kidato Cha sita. Hapa jijini.

Siku hio nilitoka shule mapema nikaka kwenye runinga nikiangalia CNN siku nzima.

It was sad kwakweli

He was gifted, super talented, charismatic musician.
 
Michael Jackson ni best singer of all the time.

Wapo wenye sauti nzuri kuliko yeye, wenye best vocal range Mfano FREDDY Mecury,
kinachomfanya MICHAEL AWEBORA ni kwamba yeye ni complete package. Lkn pia kuna watu kama Rob kelly(r kelly) He is the most accomplished singer kwenye kuandika kupruduce na kuperform in R&B.

Michael Jackson hatutamaliza hapa tukianza kuelezea ubora wake.
Nikukumbushe tu alianzapata umaarufu tokea ana miaka 5.
 
Ungesoma kwanza historia yake, kisha na hao wengine.
Ni mwanamuziki anaye ongoza kwa mauzo, na hakuna liyevunja hiyo records mpaka sasa
Ni mwanamuziki anaye ongoza kwa kupokea tuzo nyingi, usisahau enzi hizo ubaguzi ulikuwa juu sana
Ni mwimbaji na dancer pia. sio wote wanao imba ni wajuaji wa kucheza (kuna kitu kinaitwa moonwalker) hakuna msanii mwingine aliyekuja na style yake ya kucheza na ikakubalika kama huyu.
Ni msanii anayeongoza kwa kuwa na bajeti kubwa ya kutengeneza Nyimbo zake

Kwa kifupi, walio anza kuimba kanisani "kaa nao mbali" ni vipaji halisi
 
Unaweza ukawa sahihi kwenye fikra zako kwakua mziki ni hisia hivyo hukua na hisia za kuupenda mziki wa mj ila usituonyeshe ujinga wako unaposema mj hakuwa na nyimbo zenye maana haulazimishwi kumpenda na pia hulazimishwi kuonyesha ujinga na utoto wako
 
Wimbo pendwaa kwangu.
Human nature.
 
Heeeeeee
 
Aisee ulikuwa unawaza kama mimi. Sijawahi kuona uzuri wa nyimbo asilimia kubwa za MJ. Mwingine ni bob marley huwa naona kama luckydube aliapaswa kuxhukua tittle ya BM
 
Human nature
They don't care about us

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

The Wacko Jacko.
 
Umezaliwa mwaka gani mdogo wangu??????Kaka zako tukuadithie kidogo enzi hizo
 
Aisee ulikuwa unawaza kama mimi. Sijawahi kuona uzuri wa nyimbo asilimia kubwa za MJ. Mwingine ni bob marley huwa naona kama luckydube aliapaswa kuxhukua tittle ya BM
Umezaliwa mwaka gani mdogo wangu mdogo wangu na huyo dube alianza kusikika international mwaka gani
 
'All I wanna say is that they don't really care about us
All I wanna say is that they don't really care about us
Tell me what has become of my life
I have a wife and two children who love me
I'm a victim of police brutality, now (Mhhm)
I'm tired of bein' the victim of hate
Your rapin' me of my pride
Oh, for God's sake
I look to heaven to fulfill its prophecy...
Set me free'

They don't care about us
Released in 1996

The song was ahead of its time
 
Sources zako za kuaminika kaka au na wewe umesoma sehemu????
 
Naisikiliza Wanna be starting something zaidi ya mara 50 leo
 
Aisee ulikuwa unawaza kama mimi. Sijawahi kuona uzuri wa nyimbo asilimia kubwa za MJ. Mwingine ni bob marley huwa naona kama luckydube aliapaswa kuxhukua tittle ya BM
Katika comments 100 naona ni wewe na mtoa mada hamumuelewi Michael Jackson ngoja niiskilize BEAT IT weekend iwe murua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…