Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

umekuja kuwatafuta maneno wamarekani wa Bongo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sio tu michael, Bob na Pac binafsi hawanibariki ..
 
Vipi wewe unazijua nyimbo zake mbili tatu za maana?
Tafuta Documentary ya Show zake utaelewa kwanin bwana Wako Jacko kwanini alijiita Jina la kimakonde

Wako kwa kimakonde maana yake Wewe
Jacko ni kifupi cha Jackson kwa pamoja maana yake ni Wewe Jackson kuna nyimbo yake moja inaitwa Liberian Girl mule kaimba Kiswahili "Nakupenda pia Nakutaka pia Mpenzi weeee", na bongo alipotua Dar aliishia Airport JNIA kipindi hicho ilikua haiitwi hivyo, akarudi kwao akasema bongo kuna stink yaan bongo kuna nuka,

Aliekua anamfuatia kwa Show kali ni Celine Dion
 
Mistari ya chini hapo umenikumbusha mbalisana demuwangu enzi anasoma ninasoma nikiitafuna mbususu tumeoga Sasa tunakaribia kulala ananitaftia usingizi anaimba nyimbo za jako nawengine ,napokuja kushituka namwamsha anaichezea Tena hadi kunaucha ,aise mademu zamani washule walikua imarasana ,vyasasahivi vichafu havieleweki kama masela wao ,kama huyu aliyeema Michael haeleweki
 
Kuna kaukweli kidogo na kauvundo ka bongo, ukishuka pale Airport kama umekaa unyamwezini kwa muda utakasikia
 
Michael Jackson ndiyo mwanamuziki bora wa muda wote
 

Kama nakuona ulivyokua serious wakati unaandika huu uzushi wako hapa, hadi kabisa unasema "tafuta Documentary ya show zake utaletewa kwanini bwana Wacko Jacko alijiita jina la kimakonde" lol [emoji23]

Kama aliishia Airport eti kisa bongo kunanuka hilo jina la kimakonde alilipata wapi?

Hivi unajua video ya wimbo wa Earth Song kuna vipande alivi shoot Tanzania tena umasaini?
Unajua kama MJ alikutana na Rais Mwinyi?
Unajua kama MJ alilala Kilimanjaro Hotel?
Unajua kama MJ alienda Sinza kituo cha Watoto Yatima?

Jina la Wacko Jacko alipewa na wazungu katika hali ya kumdhihaki lenye maana ya WACKO (Crazy) na JACKO (Monkey) yaani Crazy Monkey,
Mj alikua anachukia kuitwa hilo jina,

Nenda kafatilie habari kamili sio uzushi uzushi,
 
Msamehe bure,
Kazaliwa Sigimbi huko mziki wa MJ ataujulia wapi?
 
My Fav song of all the time [emoji3059]

Reaching out
To touch a stranger
Electric eyes are everywhere

See that girl
She knows I'm watching
She likes the way I stare

If they say
Why (why?), why (why?)
Tell 'em that it's human nature

Why (why?), why (why?)
Does he do me that way?

If they say
Why (why?), why (why?)
Tell 'em that it's human nature
Why (why?), why (why?)

Does he do me that way?
 
Mbali ya juwa na style pekee za kiuchezaji ! Pitia Mashairi yake ndio utagundua alikuwa na vitu vya ziada ! Hapo bado ujaenda kwenye ubunifu katika uaandaji video na live shows maana kuna vitu alikuwa anavipangilia mwenyewe !!
 
Ukiskiliza nyimbo za MJ kuna feeling flani hiv inakuingia.
Ww utakuwa unachuki binafsi na watu wenye mafanikio.
Jamaa mpaka leo anaishi,
Imagine wengine nyimbo zake nyingi zimetoka bado hata kuwaziwa kama tutazaliwa lakini tumezikuta tumezipenda na tutarithisha vizazi vyetu pia,

Nyimbo za 70s ukisikiliza kama zimetoka jana
 
Sweet Personality indeed,
Yaan kalikua kamtu fulani hivi unaweza ukasema yote akiwa hayupo ukikaona maneno yote yanaisha, alikua ana aibu sanaaaa, hua sichoki kuangalia documentaries zake.
 
na bongo alipotua Dar aliishia Airport JNIA kipindi hicho ilikua haiitwi hivyo, akarudi kwao akasema bongo kuna stink yaan bongo kuna nuka,
Dude it's clear that you're not around in Dar back in '92. By that time a foreign minister Ahmed Hassan was there to welcome Michael Jackson in airport and the guy didn't fly back to America the same day as you claim here.
akarudi kwao akasema bongo kuna stink yaan bongo kuna nuka,
Sio kweli kwanza alifika Hadi Ikulu akaonana na Mzee Mwinyi then he cancelled his trip to Kenya and Egypt akaenda moja kwa moja London, Uingereza.

By the way huwa Kuna rumors kuwa alirudi bongo kurekodi baadhi ya vipande katika video yake ya Earth song.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…