Michael star power yake ilikuwa kwenye humanitarian works, jamaa alikuwa anajitoa sana kwenye kazi za jamii na ile love yake kwa watoto, ilifanya watu wampende zaidi
Pia alikuwa na sweet personality na hii ndio sababu kubwa alimshinda mpinzani wake prince kwa sababu hakuwa likable. Sikiliza interviews zake utanielewa, he was a beast on stage but very innocent and shy kwenye interviews, hakuwa na ile ego ya ustar
Kuna hizo controversies ulizosema za kubadili ngozi, watoto na mke lakini kubwa kuliko. Michael Jackson aliuishi umaarufu toka yupo mtoto mdogo kwenye bendi ya familia ya Jackson 5 ambayo ilitengenezwa strickly na baba yao aliyekuwa perfectionist. As a result MJ akawa ni mtu mwenye kipaji lakini disciplined pia
Hivyo, huwezi kumlinganisha na whitney lionel au hao wengine waliopata ustar ukubwani. MJ alikuwa star na peformer kabla hata hajafikia umri wa kujitambua