Sema kweli π³π³π³π©π©π©π©Ni kweli bora usituamini sisi ni smart kuliko nyie sema tu wanaume wanatu undermine bure. Hata watoto kwenye familia wanaweza Kuwa na Baba watatu mkajua nyie ni ndugu. Tena tukichepuka tuna rudisha mahaba kama yote
Sema kweli [emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Lakini huwa mnafanya mkijua jamaa akijua ndoa hakuna tena, kwa hiyo huwa mnajitoa mhanga.True na usijiloge uchepuke mke ajue wewe atakigawa huyo mpaka basi hafu wewe wadhani kusahau kumbe
Wengi tu wamechepuka na ndoa zinadunda vzuri mkuu.Lakini huwa mnafanya mkijua jamaa akijua ndoa hakuna tena, kwa hiyo huwa mnajitoa mhanga.
Binafsi nina wivu sana.Wengi tu wamechepuka na ndoa zinadunda vzuri mkuu.
Wivu wa nini mkuu eeeh. Ukiwa una chepuka na wako anachepuka tu ngoma droo sasa wewe wahangaika mie nitulie hyo ngumu sanaBinafsi nina wivu sana.
Shikamooo wanawake!Wivu wa nini mkuu eeeh. Ukiwa una chepuka na wako anachepuka tu ngoma droo sasa wewe wahangaika mie nitulie hyo ngumu sana
Shikamooo wanawake!
Siku zote hutakiwi kushindana na mwanaume, ukimwona anaruka ukuta wee piga magoti umwombee aache hiyo tabia, na si vinginevyo atakuumiza kwa kipigo.Hahaaaaa what's goes around comes back mkuu
Ni asili yetu sisi wanaume hata akina Ibrahim walichepuka tena wakiambiwa na mke wake sarai pia akina mfalme Daudi alichekupuka na mke wa Ulia nk.Aww really?? Na kwann mwanaume uchepuke (labda),.??
Hata kweny bustani ya eden ni Hawa ndo alichepuka na nyoka we inazani ule ujuzi wa mema na mabaya ulikuwa upi kama hiyo kula tunda la katikati yaani apple [emoji519]Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
Siku zote hutakiwi kushindana na mwanaume, ukimwona anaruka ukuta wee piga magoti umwombee aache hiyo tabia, na si vinginevyo atakuumiza kwa kipigo.
Nionyeshe andiko linalo onyesha Eva kuchepuka mkuuHata kweny bustani ya eden ni Hawa ndo alichepuka na nyoka we inazani ule ujuzi wa mema na mabaya ulikuwa upi kama hiyo kula tunda la katikati yaani apple [emoji519]
Shapigwa sana hyo kitu mkuuUtakuta hapo hata katerero hujwahi pigwa na kuzirahi unackia kwa wenzako
Bado hujapigwa ile ya ki Afghanistan ,,pm nkupe madin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shapigwa sana hyo kitu mkuu
Kama kawa kuliwe nami nala wake za watu wengine ngoma drooHalafu wanafanya kusudi kutongoza wake za watu akisahau kuwa na mkewe anatongozwa.
Na sie ni binadamu ati, naanzaje kukataa kwa mfano.
**ukila vya watu jua na vyako vinaliwa maradufu.
Bado hujapigwa ile ya ki Afghanistan ,,pm nkupe madin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Acha banaShapigwa sana hyo kitu mkuu
Wee dada umenishinda tabia, ushapinda kitambo yaani ushaharibika muda sana!Shapigwa sana hyo kitu mkuu