uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Ndo hivyo na hatuna uwezo wa kukwepa hilo zaidi cha kufanya nikukubaliana na matokeo hilo hunisaidia sana mm binafsi ila wengine sijuiKuna kipindi nilikuwaga sina hisia machozi hayotoki aisee nilikuwaga naumia, Ila baada ya hisia kurudi machozi dakika sifuri hata siumii kwa jambo lolote. Hakika wanaume ndo mana mnakufa mapema kwa kuficha maumivu moyoni
Ninyi mna afadhali mkiudhiwa mnalia lakini wengi wetuvtwavumilia kitu ambacho ni hatari
Kweli maisha ni kushirikiana
Haaaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] practice yako bure bure kama si bila bila,Kweli hafu mume Ana chepuka. Kuna huyo kaka alikuwa anajisifia uhuni nikajua yeye ni kiboko halaa wakati wa mechi alikuwa hajui kitu nilichoka. Nikajua mkewe anapata tabu
Msifiche hisia za uchungu kabisa shauri yenuNdo hivyo na hatuna uwezo wa kukwepa hilo zaidi cha kufanya nikukubaliana na matokeo hilo hunisaidia sana mm binafsi ila wengine sijui
ila isiwe mbele ya wanao,
Kweli aisee wanawake huwa tunalia na wanaume wanafikiria sisi ni dhaifu. Ujue na nyie wanaume mna hisia msiogope kuzionyesha hadharani.
Haaaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] practice yako bure bure kama si bila bila,
ntakuonyesha hisia za mapenzi hadharani na sio machozi ya huzuni[emoji23]
Hatufichi bali ni tulivyoumbwa tu hayaji kabisa na huwez lazimisha yaje japo unaumia ndani, ila kubwa kuliko ni kukataa kushindwa ila ukikubali kushindwa machozi yanakuja tu vizuri, ila sasa tukianza kukubali kushindwa kirahisi then nn tofauti ya mwanaume na mwanamkeMsifiche hisia za uchungu kabisa shauri yenu
Analia lia siku akichoka unalea na watoto wasio wako kimya kimya kama kukimbiza mwizi wengine mpaka marafiki wa mmeNa kwenye mapenzi wanaoumizwa sana ni wanaume ile wanawake wanaonekana wahanga kwa sababu yakulialia kwa kuonekana lakin mwanaume anakufa na chake moyoni
asante kumbe unayo akili, ndoa ikizingua nialike tumkomoe huyo jamaaNi kweli hyo tabia mbovu kuleta mahawara mbele ya wanao
Haaaa haaaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha hizo tuvumiliane mkuuNatafuta soko nikipata tu nawauza wote mmeshindikana!
Hahaaaaa ninazo sana akili siwezi fanya ujinga mbele ya watu wangu aisee, nitakuwa mfano mubaya kuliko maelezo.asante kumbe unayo akili, ndoa ikizingua nialike tumkomoe huyo jamaa
huu uzi utatembea sana maadam umeukalia[emoji23]Machozi ni tiba sina weza kulia hata pembeni. Nyie mwafikiri Kuwa kidume ndo hamulii eeeh.
Analia lia siku akichoka unalea na watoto wasio wako kimya kimya kama kukimbiza mwiza wengine mpaka marafiki wa mme
huu uzi utatembea sana maadam umeukalia[emoji23]
Sisi wanawake hatupendi kuweka moyoni tukilizungumza jambo Mara nyingi hupata nafuu na hyo Hali kutoweka sasa nyie jidaini wagumu.
Umeonaa sio kutuonea wakati hata sisi tuna wazazi vile vileHahaaaaa tuuze tu mkuu Ila kwa bei nzuri