Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Kuna kipindi nilikuwaga sina hisia machozi hayotoki aisee nilikuwaga naumia, Ila baada ya hisia kurudi machozi dakika sifuri hata siumii kwa jambo lolote. Hakika wanaume ndo mana mnakufa mapema kwa kuficha maumivu moyoni
Ndo hivyo na hatuna uwezo wa kukwepa hilo zaidi cha kufanya nikukubaliana na matokeo hilo hunisaidia sana mm binafsi ila wengine sijui
 
Kweli hafu mume Ana chepuka. Kuna huyo kaka alikuwa anajisifia uhuni nikajua yeye ni kiboko halaa wakati wa mechi alikuwa hajui kitu nilichoka. Nikajua mkewe anapata tabu
Haaaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] practice yako bure bure kama si bila bila,
 
ntakuonyesha hisia za mapenzi hadharani na sio machozi ya huzuni[emoji23]
Kweli aisee wanawake huwa tunalia na wanaume wanafikiria sisi ni dhaifu. Ujue na nyie wanaume mna hisia msiogope kuzionyesha hadharani.
 
Wanawake mkipata Jibu mnitag na linifikie PM kabla hatujawajadili kwenye kamati ya maadili weekend hii.
 
Machozi ni tiba sina weza kulia hata pembeni. Nyie mwafikiri Kuwa kidume ndo hamulii eeeh.
ntakuonyesha hisia za mapenzi hadharani na sio machozi ya huzuni[emoji23]
 
Msifiche hisia za uchungu kabisa shauri yenu
Hatufichi bali ni tulivyoumbwa tu hayaji kabisa na huwez lazimisha yaje japo unaumia ndani, ila kubwa kuliko ni kukataa kushindwa ila ukikubali kushindwa machozi yanakuja tu vizuri, ila sasa tukianza kukubali kushindwa kirahisi then nn tofauti ya mwanaume na mwanamke
 
Na kwenye mapenzi wanaoumizwa sana ni wanaume ile wanawake wanaonekana wahanga kwa sababu yakulialia kwa kuonekana lakin mwanaume anakufa na chake moyoni
Analia lia siku akichoka unalea na watoto wasio wako kimya kimya kama kukimbiza mwizi wengine mpaka marafiki wa mme
 
asante kumbe unayo akili, ndoa ikizingua nialike tumkomoe huyo jamaa
Hahaaaaa ninazo sana akili siwezi fanya ujinga mbele ya watu wangu aisee, nitakuwa mfano mubaya kuliko maelezo.
 
Ndiyo mara kadondoka kulia ni moja ya kupunguza stress
Sisi wanawake hatupendi kuweka moyoni tukilizungumza jambo Mara nyingi hupata nafuu na hyo Hali kutoweka sasa nyie jidaini wagumu.
 
Back
Top Bottom