Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Machozi ni tiba sina weza kulia hata pembeni. Nyie mwafikiri Kuwa kidume ndo hamulii eeeh.
Hiv inatokea labda siku umechepuka afu jamaa kakudaka na akabaki kulia na kukuuliza tu why? Basi ukajishusha ukaomba msamaha akakusamehe maisha yakaenda hiv utamchukiliaje huyo, sema ukweli
 
Nitawauza bei yoyote tu ili msiendelee kubaki mikononi kwangu, ni waharibifu sana mnaweza haribu hata vizazi vijavyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu huko tutakakoenda utatutamani sijui utatununua tena?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake mkipata Jibu mnitag na linifikie PM kabla hatujawajadili kwenye kamati ya maadili weekend hii.
 
Nitamchukulia kama yeye anavyonichukuliaga , nakuomba msamaha japo moyoni nacheka
Hiv inatokea labda siku umechepuka afu jamaa kakudaka na akabaki kulia na kukuuliza tu why? Basi ukajishusha ukaomba msamaha akakusamehe maisha yakaenda hiv utamchukiliaje huyo, sema ukweli
 
Hapa ndipo umuhim wa kuoa mwanamke bikra unapo onekana ili kuhofia kukutana na mtu wa caliber yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…