Bnafsi naheshimu Imani yako lakini usijiite Mkristo kwani umepotea haswaa na nikupe pole tuu ndugu yangu watu wa Mungu hawapo hivyo.
Mwifwa acha banaaa chief,.nini mbaya??Anachepuka na mimi naona
Kwa hiyo neno la MUNGU sio sahihi?Mimi ni mkristo na Mungu anajua. Sio kila kitu hapa duniani ni sahihi.
Wacha nikae nalo maana naweza tukana bureHa haaa litoe
I fill the blank for you ...... watamuWanaume wenzenu ndo wanawamegea, na hawaishii hapo wanadai wake za watu ni.... hizi lawama ziende kwao.
Nawasilisha
Hahahahahahahahahah acha tu ndugu yañgu...nimeangalia topic, nikaangalia comments zao bas likazid nikaba yaan nikashindwa had kuandika ....bora umenisaidia japo kulipunguza..ahsante sanaMpotevu wewe...
Umenichekesha sana ndugu.
Huwezi elewa. Ya Mungu nayafata lkn ya binadamu hapana aisee. Kumbuka Matayo ni binadamuKwa hiyo neno la MUNGU sio sahihi?
Ya kidunia achana nayo hapo hata mimi nakuunga mkono ila neno la MUNGU sio la kidunia ndugu.
Plz take care, mimi nakushauri tuu kaa utulie umtafuta MUNGU ndipo utampata.
Una Imani ila ni kidogo sana pengine kwa kichwa chako hicho unakua hujamtendea MUNGU kosa kwa sababu hujui ufanyacho.
Tatizo linakuja kwa wale watu wanaotenda mambo wanaoyafahamu/wanayoyajua hao ndio watakoadhibiwa kwa maana MUNGU hadhihakiwi, Wagalatia 6:7.
Yote yalioandikwa kwenye biblia yameandikwa na binadamu!Huwezi elewa. Ya Mungu nayafata lkn ya binadamu hapana aisee. Kumbuka Matayo ni binadamu
duh!!!Nakuona unapojaribu kuzuia akili yako isikumbuke mtu wa kwanza kuchepuka, basi naomba nikukumbushe kuwa mwanamke ndiye mtu wa kwanza na ndiye aliyetufundisha mchezo mchafu hata sisi wanaume.
Kibaya zaidi kachepuka na mpaka katiwa ujauzito na joka (serpent). So endelea kujiuliza nani alimruhusu.
Duh !!...Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
hahaa .. keyboard hizi wewe acha tu mkuuUtakuta hapo hata katerero hujwahi pigwa na kuzirahi unackia kwa wenzako
Mimi huwa najua hivi miaka mingi Sana ".... na wala hues sijishughulishi katika kuweka imani kivile na nyinyi jinsia Ke ...Umeona eeeh huku mpenzi wako ni kukubaka tu hajui mambo. Wanaume hawajui kuchepuka wanawake ni vinara sema tuna siri kubwa tofauti na wanaume wao hufanya matangazo
Utakuta hapo hata katerero hujwahi pigwa na kuzirahi unackia kwa wenzako
Mimi huwa najua hivi miaka mingi Sana ".... na wala hues sijishughulishi katika kuweka imani kivile na nyinyi jinsia Ke ...
@cariha kwa uzoefu wangu nilionao mbona huwa naona ni rahisi mnoo kujua kama mwanamke ana ku cheat "... shida ni kwamba kuna baadhi ya wanaume walio wengi ambao huwa hawataki kukubaliana na uhalisia wa kile wanacho kiona kutokana na mahaba waliyo nayo kwa wanawake zaoNi kweli bora usituamini sisi ni smart kuliko nyie sema tu wanaume wanatu undermine bure. Hata watoto kwenye familia wanaweza Kuwa na Baba watatu mkajua nyie ni ndugu. Tena tukichepuka tuna rudisha mahaba kama yote
Utajuaje mwanamke ka cheat maana ka ni mahaba hapunguzi hata kidogo na nafasi yake anaifanya tu vzuri. Ujue ukiwa na mwanamke huwezi mridhishisha kila kitu kuanzia kitendo, na siku hizi fedha lazima mwanamke awapange hata wanaume 7 akiamua.ni vile huwa twafanya kwa siri kimya kimya@cariha kwa uzoefu wangu nilionao mbona huwa naona ni rahisi mnoo kujua kama mwanamke ana ku cheat "... shida ni kwamba kuna baadhi ya wanaume walio wengi ambao huwa hawataki kukubaliana na uhalisia wa kile wanacho kiona kutokana na mahaba waliyo nayo kwa wanawake zao
aggh zipo sababu nyingi mnoo mkuu ...nikitulia nitakupa analysisUtajuaje mwanamke ka cheat maana ka ni mahaba hapunguzi hata kidogo na nafasi yake anaifanya tu vzuri. Ujue ukiwa na mwanamke huwezi mridhishisha kila kitu kuanzia kitendo, na siku hizi fedha lazima mwanamke awapange hata wanaume 7 akiamua.ni vile huwa twafanya kwa siri kimya kimya
aggh zipo sababu nyingi mnoo mkuu ...nikitulia nitakupa analysis