moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
usiumie shemYaani naumia kama mimi ndio Mwifwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiumie shemYaani naumia kama mimi ndio Mwifwa
1.
1. Ni majukumu yapi hayo mwanamke amejivika ambayo hastahili? Maana hukutaja.
Aliyekuambia kuwa mwanaume anauwezo wa kumiliki wanawake wengi hlf mwanamke ashindwe ni nani?
Mwanamke hana uwezo wa kuolewa na wanaume wengi lakini haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
2. Wewe ni mbinafsi sana maana unahisi mwanamke akisalitiwa haumii. Hivi nyie wanaume mkoje? Mnakera sana sometimes na ubinafsi wenu wa kipumbavu.
Ni utamaduni tu ambao mwanamke amewekewa toka enzi na enzi na tumeendelea kurithi hivyo. Tumeaminishwa kwamba kuchepuka ni kosa kwetu lkn kwa mwanaume ni sahihi.
Mungu ninayemuamini mimi hayupo hivyo, hana upendeleo.
Hiyo mistari ya biblia kaa nayo maana imeandikwa kwa lengo lile lile la kumfanya mwanamke awe chini siku zote hata kwa mambo ya kipuuzi.
3. Ninaelewa kuwa mwanaume ana hitaji kupewa heshima lakini sio kwa mtazamo huo.
Kuhusu talaka mimi sijali nani anatoa, nina amini katika mapenzi ya dhati, napendana na mtu na siku ikitokea tumeshindwana utoe talaka au usitoe haijalishi. Tunamwagana maisha yanaendelea. Sipendi kucomplicate mambo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16] natetea penzi lako lirudi maana ukiachwa hapa kuna sehemu utakua unanisumbua sana [emoji23]
Jeraha la moyo wangu ni kubwa sana, najutia kuumiza moyo wangu....poleeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jins nilivyotangazwa wazi wazi sina hamu nalo tena
Anachepuka na mimi naonaWeeeee...siamini!!!
Sawa labda nitazoeausiumie shem
Siku ufumwe ndio utajua unapendwa ukiwa na mumeo tu!Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
hivi yako umesahau mwifwa eeeh, umesahau kama wewe ndie uliyenibadilishaJeraha la moyo wangu ni kubwa sana, nakujutia kuumiza moyo wangu....
1/Sijasema kumiliki bali namesema ana uwezo wa kuoa wake wengi wakati mwanamke hana kwani anaolewa na mwanaume mmoja tuu at the same time. Huo uwezo wa mwanamke kuwa na wanaume wengi ndio umalaya/uchepukaji ambao haujaruhusiwi kwenye biblia. Mimi siongelei uchepukaji wa mwanaume au mwanaume bali naongelea yale mambo yaliyoruhusiwa kihalali kwenye biblia.
Mimi suing mkono uchepukaji wa mwanaume wala mwanamke kwani hayo mambo ni dhambi kama ilivyoandikwa nkwenye maandiko.
Tatizo lenu wanawake mnataka mjifanye nyie ni sawa na wanaume kitu ambacho mnakosea sana. Mwanamke ana nafsi yake na mwanaume ana nafsi yake. Kamwei moyo wa mwanamke hauwezi fanana na moyo wa mwanaume japo yote inapata maumivu. Ile Mathayo 19:7-9 kama ungeisoma ungenielewa ninachomanisha hapa.
2/Mwanamke akisalitiwa anaumia lakini sio kwa kiasi kile anachoumia mwanaume soma Mathayo 19:7-9.
Ndugu yangu ukiona umebishana na maandiko basi jua una walakini. Mimi najua kwa mtumishi wa kweli wa Mwenyezi-Mungu lazima atii na aishi maandiko matakatifu. Yote yatapita lakini neon la MUNGU halitappita... MUNGU sio mjinga wala huwezi kumsahihisha MUNGU ndugu yangu kama wewe ni mKristo wa kweli nina mashaka na Imani yako.
Mimi sio mbinafsi bali nasemea ukweli wa kile kilichoandikwa kwenye maandiko matakatifu kma unabisha waweza kuaja na vifungu ili tuchambue kama mimi ninavyo fanya hapa. Hatufanyi tuu bali tunafanya kulingana na andiko/namna MUNGU alivyosema.
3/Hivyo ndivyo MUNGU anavyotaka kama vile Waefeso 5:22-24 "Wake watiini waume zao kama kumtii Bwana. Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa, naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake kama vile kanisa lilivyomtii Kristo vivyo hivyo wake wawatii waume zao katika mambo yote"
Kama ndugu yangu unabishana na maandiko matakatifu basi wewe sio Mkristo wa kweli pengine MUNGU wako sio MUNGU tumjuaye .
Talaka inatolewa na mwanaume kama Yesu alivyosema pale kwenye Mathayo 19:7-9
Hii sio ku complicate mambo ndugu bali ndivyo sharia inavotaka hata ukienda mahakamani utaletewa vifungu vya sheria sasa navyo utasema huvijui kisa hupendi ku comlicate mambo?
Ndugu yangu una safari ndefu sana ila naamni wewe ni mtu mzima ambae wahitaji ujitathimini Zaidi maana sio k kwa namna unavyofikiri.
Siku zote sharia hufuatwa! Zipo sheria za MUNGU na sheria za kiserikali zote hizo huwezi kuwa juu yake kwani ni lazima uzitii na hivyo uko chini ya sheria.
Yakobo, Esau, Musa, Elikana, Mfalme Daudi, Mfalme Suleimani na wengino walikuwa na wake wangapi?Na nyie nani anawaruhusu kuchepuka??
Kwa sisi wakristu dini inaruhusu mke mmoja tu
Na kwa dini ya kiislam mpaka wawe wamepitishwa kwa imani ya dini
sasa basi nani anawaruhusu kuchepuka???
wala usiondoke kipenzi changu,tuendelee kupata funzo hapaKwaherini nawaachieni uzi wenu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Niache nikaugulie maumivu kitandaniwala usiondoke kipenzi changu,tuendelee kupata funzo hapa
Aisee nilikuwa na povu limenikaba kabisa naona umenisaidia kupunguza ..big up1.
1. Ni majukumu yapi hayo mwanamke amejivika ambayo hastahili? Maana hukutaja.
Aliyekuambia kuwa mwanaume anauwezo wa kumiliki wanawake wengi hlf mwanamke ashindwe ni nani?
Mwanamke hana uwezo wa kuolewa na wanaume wengi lakini haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
2. Wewe ni mbinafsi sana maana unahisi mwanamke akisalitiwa haumii. Hivi nyie wanaume mkoje? Mnakera sana sometimes na ubinafsi wenu wa kipumbavu.
Ni utamaduni tu ambao mwanamke amewekewa toka enzi na enzi na tumeendelea kurithi hivyo. Tumeaminishwa kwamba kuchepuka ni kosa kwetu lkn kwa mwanaume ni sahihi.
Mungu ninayemuamini mimi hayupo hivyo, hana upendeleo.
Hiyo mistari ya biblia kaa nayo maana imeandikwa kwa lengo lile lile la kumfanya mwanamke awe chini siku zote hata kwa mambo ya kipuuzi.
3. Ninaelewa kuwa mwanaume ana hitaji kupewa heshima lakini sio kwa mtazamo huo.
Kuhusu talaka mimi sijali nani anatoa, nina amini katika mapenzi ya dhati, napendana na mtu na siku ikitokea tumeshindwana utoe talaka au usitoe haijalishi. Tunamwagana maisha yanaendelea. Sipendi kucomplicate mambo.
Bnafsi naheshimu Imani yako lakini usijiite Mkristo kwani umepotea haswaa na nikupe pole tuu ndugu yangu watu wa Mungu hawapo hivyo.Unanichanganya tu. Ni hivi...Sio kila maandishi yaliyoandikwa kwenye biblia nayaamini; hayo yameandikwa na mwanaume kama wewe kwa hizo sababu zenu za kipuuzi.
Ninaishi kulingana na jinsi nilivyoumbwa!
Atakuja kukujibu anayeyaamini hayo maandiko.
Ha haaa litoeAisee nilikuwa na povu limenikaba kabisa naona umenisaidia kupunguza ..big up