Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukujee pm buanaaaa ,takiii kumwaga mchele kwenye kwale wengiHahaaaaa ya Afghanistan sijui hebu nijuze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukujee pm buanaaaa ,takiii kumwaga mchele kwenye kwale wengi
Dah ukioa wa aina hii kazi unayo yaani uishii maisha yote unakula mboga na ugali mmoja tu jmn wake zetu mtuhurumie sie waume zenu haiwezekani kutochepuka maana wanawake mpo wengi sana jmn nao wanataka huduma kama mnayopewa ndoani jmn1.
1. Ni majukumu yapi hayo mwanamke amejivika ambayo hastahili? Maana hukutaja.
Aliyekuambia kuwa mwanaume anauwezo wa kumiliki wanawake wengi hlf mwanamke ashindwe ni nani?
Mwanamke hana uwezo wa kuolewa na wanaume wengi lakini haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
2. Wewe ni mbinafsi sana maana unahisi mwanamke akisalitiwa haumii. Hivi nyie wanaume mkoje? Mnakera sana sometimes na ubinafsi wenu wa kipumbavu.
Ni utamaduni tu ambao mwanamke amewekewa toka enzi na enzi na tumeendelea kurithi hivyo. Tumeaminishwa kwamba kuchepuka ni kosa kwetu lkn kwa mwanaume ni sahihi.
Mungu ninayemuamini mimi hayupo hivyo, hana upendeleo.
Hiyo mistari ya biblia kaa nayo maana imeandikwa kwa lengo lile lile la kumfanya mwanamke awe chini siku zote hata kwa mambo ya kipuuzi.
3. Ninaelewa kuwa mwanaume ana hitaji kupewa heshima lakini sio kwa mtazamo huo.
Kuhusu talaka mimi sijali nani anatoa, nina amini katika mapenzi ya dhati, napendana na mtu na siku ikitokea tumeshindwana utoe talaka au usitoe haijalishi. Tunamwagana maisha yanaendelea. Sipendi kucomplicate mambo.
YesSiku hizi mada za kuchepuka na kutembea na wake za watu zinatrend kila kona duh au ndio maisha tuliyojichagulia kizazi hiki
Umenifanya nicheke sana.katerero niliwahi kumpiga dada moja,ww acha tu huyo dada baada ya kumuacha alizimia siku tatu hospitalini,katerero ukimpiga mke wa mtu,hiyo ndoa lazima iwe na shidaAliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
Hamna shida mkuu kama umechoka kula mboga ya aina moja we nenda katafute ya kubadilisha ila mke wako kwa sabsbu na yy n binadamu atabadili mboga pia maana mboga ya aina moja inachosha na huko nje pia kuna wanaume wanaohitaj huduma unayopewa ww ndaniDah ukioa wa aina hii kazi unayo yaani uishii maisha yote unakula mboga na ugali mmoja tu jmn wake zetu mtuhurumie sie waume zenu haiwezekani kutochepuka maana wanawake mpo wengi sana jmn nao wanataka huduma kama mnayopewa ndoani jmn
Umeona we..huyu kama hajakutana na revenge ya maana.Basi Leo sio alhamisi.Hebu ngoja kwanza..vuta pumzi.
Ni nini kimetokea kwani?
mimi haya mambo yakuchepuka yananiumiza sana,ngoja niendelee kusoma tu nitapata somo hapa
Katerero kitu ingine best imagine ameolewa na mume hajawahi kumpa hyo raha unafikiri atatulia huyo.Umenifanya nicheke sana.katerero niliwahi kumpiga dada moja,ww acha tu huyo dada baada ya kumuacha alizimia siku tatu hospitalini,katerero ukimpiga mke wa mtu,hiyo ndoa lazima iwe na shida
Vipi yeye akikukamatamwanaume wangu akichepuka nikamkanya zaidi ya mara moja haachi me naachana nae kabisa
Katerero kitu ingine best imagine ameolewa na mume hajawahi kumpa hyo raha unafikiri atatulia huyo.
Je ukigundua mmeo anachepuka unafanyaje? lakini wanaume wengi humwacha mwanamke huyo tena hata akimsamehe ipo siku hiyo ndoa itavunjika tu.
Yani niache kukojozwa Ile raha kisa kuogopa kuachwa huku yeye Ana ruka ruka eeeh. Ka ni kuachwa niachwe tu
Wanaume wenzenu ndo wanawamegea, na hawaishii hapo wanadai wake za watu ni.... hizi lawama ziende kwao.
Nawasilisha
Siku zote hutakiwi kushindana na mwanaume, ukimwona anaruka ukuta wee piga magoti umwombee aache hiyo tabia, na si vinginevyo atakuumiza kwa kipigo.
Ni kweli kabisa .. Mwanaume kuchepuka na kuwa na michepuka ni ufahali na ndyo uanaume ndyo maana hakuna siri ila kwa mwanamke kuchepuka anonekana malaya tena mchafu asiyefaa kuigwa katika jamii ndyo maana wanajitahidi kufanya juu chini kukeep secret za uchafu wao maana inakuwa ni zaidi ya aibu mambo yanapokuwa hadharaniUmeona eeeh huku mpenzi wako ni kukubaka tu hajui mambo. Wanaume hawajui kuchepuka wanawake ni vinara sema tuna siri kubwa tofauti na wanaume wao hufanya matangazo
Umenifanya nicheke sana.katerero niliwahi kumpiga dada moja,ww acha tu huyo dada baada ya kumuacha alizimia siku tatu hospitalini,katerero ukimpiga mke wa mtu,hiyo ndoa lazima iwe na shida
Ni kweli kabisa .. Mwanaume kuchepuka na kuwa na michepuka ni ufahali na ndyo uanaume ndyo maana hakuna siri ila kwa mwanamke kuchepuka anonekana malaya tena mchafu asiyefaa kuigwa katika jamii ndyo maana wanajitahidi kufanya juu chini kukeep secret za uchafu wao maana inakuwa ni zaidi ya aibu mambo yanapokuwa hadharani