Ni nani ameikalia CHADEMA MEDIA TV mbona inamuhujumu TUNDU LISSU ?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.

Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.

Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.

LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
 
kumbe ipo chadema online? :pedroP:
 
Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.

Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.

Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.

LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
Media Team ya Chadema wanatakiwa kufahamu katika kipindi wanachotakiwa kuwa active basi ni kipindi hiki. Mwamko wa Wananchi kumsikiliza Lissu ni mkubwa sana.

Hawapaswi kwa namna yeyote ile kuwaangusha Watanzania.

Pia kuna haja ya kuchukua ushauri wa Chahali kuhusu kutumia Facebook Live na Insta Live kurusha mikutano ya Viongozi yao.

It's now or never!
 
Kama wale jamaa wa tangu miaka yote wako kwenye hicho kitengo basi tusitarajie jambo jipya.

Niliwahi kuwandikia Maoni jinsi ya kuboresha media yao.

Moja ya maoendekezo ni kutumia mikutano ya Hadhara inayofanyika kila kona ya nchi kutambukisha social media za chama na ku enhence subscriptions.

Watu wengi hawajui kama hizo media zipo.

Lazima zitangazwe.....wananchi wana smartphone hadi vijijini.

Lakini akina Erythrocyte wapo wapo tu na pesa za kina Wenje
 
Media Team ya Chadema wanatakiwa kufahamu katika kipindi wanachotakiwa kuwa active basi ni kipindi hiki. Mwamko wa Wananchi kumsikiliza Lissu ni mkubwa sana.

Hawapaswi kwa namna yeyote ile kuwaangusha Watanzania.

Pia kuna haja ya kuchukua ushauri wa Chahali kuhusu kutumia Facebook Live na Insta Live kurusha mikutano ya Viongozi yao.

It's now or never!
Ni kweli kabisa Mkuu, MEDIA zifaham wananchi wanapenda LISSU .

Hivo LISSU apewe kipaumbele Sanaa.

Mliokaribu, muwajuze Akina LISSU kua hatuwaoni mitandaoni.
 
Media Team ya Chadema wanatakiwa kufahamu katika kipindi wanachotakiwa kuwa active basi ni kipindi hiki. Mwamko wa Wananchi kumsikiliza Lissu ni mkubwa sana.

Hawapaswi kwa namna yeyote ile kuwaangusha Watanzania.

Pia kuna haja ya kuchukua ushauri wa Chahali kuhusu kutumia Facebook Live na Insta Live kurusha mikutano ya Viongozi yao.

It's now or never!
Ila wewe jamaa inawezekana ndio Lissu mwenyewe hahahahaha una matumaini ya kitoto sana 😂😂😂😂
 
Tuliaa ,LISSU kasema iwe Kwa shuruti, bila Mabadiliko hakuna uchaguzi.

Ña tutamuunga mkono.
uchaguzi wa chadema sio?
si tayari ulishafanyika au mnaunga mkono kutapeliwa pesa kwaajili ya viongozi kupata bapa na minyama kidogo? :pedroP:
 
Kama Molemo ndio yuko kwenye hiyo media msitarajie lolote maana lile ni chawa la mbowe!
 
Back
Top Bottom