Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
kumbe ipo chadema online?Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.
Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.
Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.
LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
Tuliaa ,LISSU kasema iwe Kwa shuruti, bila Mabadiliko hakuna uchaguzi.kumbe ipo chadema online?
Media Team ya Chadema wanatakiwa kufahamu katika kipindi wanachotakiwa kuwa active basi ni kipindi hiki. Mwamko wa Wananchi kumsikiliza Lissu ni mkubwa sana.Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.
Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.
Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.
LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
Kama wale jamaa wa tangu miaka yote wako kwenye hicho kitengo basi tusitarajie jambo jipya.Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.
Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.
Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.
LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
HahahaMaranja ndio Boss wa Chadema Media π
Ni kweli kabisa Mkuu, MEDIA zifaham wananchi wanapenda LISSU .Media Team ya Chadema wanatakiwa kufahamu katika kipindi wanachotakiwa kuwa active basi ni kipindi hiki. Mwamko wa Wananchi kumsikiliza Lissu ni mkubwa sana.
Hawapaswi kwa namna yeyote ile kuwaangusha Watanzania.
Pia kuna haja ya kuchukua ushauri wa Chahali kuhusu kutumia Facebook Live na Insta Live kurusha mikutano ya Viongozi yao.
It's now or never!
SahihiNi kweli kabisa Mkuu, MEDIA zifaham wananchi wanapenda LISSU .
Hivo LISSU apewe kipaumbele Sanaa.
Mliokaribu, muwajuze Akina LISSU kua hatuwaoni mitandaoni.
Lazima ihabarishe mambo ya chama 24 hrsNi mali ya chama au mali ya mwenye chama?
Ila wewe jamaa inawezekana ndio Lissu mwenyewe hahahahaha una matumaini ya kitoto sana ππππMedia Team ya Chadema wanatakiwa kufahamu katika kipindi wanachotakiwa kuwa active basi ni kipindi hiki. Mwamko wa Wananchi kumsikiliza Lissu ni mkubwa sana.
Hawapaswi kwa namna yeyote ile kuwaangusha Watanzania.
Pia kuna haja ya kuchukua ushauri wa Chahali kuhusu kutumia Facebook Live na Insta Live kurusha mikutano ya Viongozi yao.
It's now or never!
uchaguzi wa chadema sio?Tuliaa ,LISSU kasema iwe Kwa shuruti, bila Mabadiliko hakuna uchaguzi.
Γa tutamuunga mkono.