Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?

Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
 
Huu uchaguzi ujao utawatoa watu roho
😄😄
 
Hawa wauza madafu mbona wamechoka hivyo?

Maana wanaouza wameshiba na hawana hizo hali za mwonekano.
 
yamenunuliwa yote na yalikua matamu ajabu 🐒
 
Wakamue kwenye tozo na Kodi alafu Waite kwenye maonyesho feki
 
Akili zingine bana dah!

Lakini mashAllah mama amependeza sana leo. Ndo safari ya kurudi ujanani nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…