ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Vitu vingine Rais awe anakaa huu ni ujinga na utoto.Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967
Hawa watu hawana akili za kubuni matukio ya kuvutia watu attention,wawe wanasema tunawasaidia mawazo.
Mfano Kila Siku Rais anateua na kutengua,kama anataka attention hao anaowatengua hao anatakiwa akawatengue hadharani kwenye ziara.
Haoni Wasaidizi wake kama Mawaziri mfano Bashungwa ,Majaliwa ,Aweso nk wanawatumbua watu hadharani?
Kama mnataka maigizo hayo ndio Watz. Wajinga wanataka Sasa ila sio hii.Kuna mambo mengi ya msingi anaweza fanya ikiwemo kusaidia wenye uhaitaji hata Kwa kuwaandaa ila tuu iwe ziarani nk nk.