Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ramadhan Kareem plus uongo na utapeli from ofisi kuu!Ramadan Kareem
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramadhan Kareem plus uongo na utapeli from ofisi kuu!Ramadan Kareem
Wapo wengine hapa jf toatu maoni yakoMwanasheria wangu kasafiri, nifundishe kunyamaza EE BABA
SAWAWapo wengine hapa jf toatu maoni yako
Mama yenu tangu aapishwe akili na mawazo yake yote ni uchaguzi wa 2025Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967
Upo sawa Ivi kweli ndani ya Ikulu hakuna minazi , na je ukifuturu lazi upate na dafuHivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967
Jamaa yangu huwa anasema anatumia halmashauri ya kichwa chake kushauriana ili afanye maamuzi sahihi. Inabdi ujichekeche ili yakiwa kinyume na matamanio usimlaumu mtu bali ujilaumu mwenyewe. Ila katika kila ndoa msimamizi mkuu na mwanamke. Mwanamke akiamua ndoa idumu, itadumu na akiamua ife itakufa. Sisi wanaume huwa ni mikondoo katika maseala ya mahusiano ujue.🤣🤣🤣nipo katika kipindi cha kutafakari sana mkuu
Hata hao unaweza ukawapa hela chenji usiioneHao TISS au wauza madafu?
Asante sana mkuu,nakuelewa sana KamandaJamaa yangu huwa anasema anatumia halmashauri ya kichwa chake kushauriana ili afanye maamuzi sahihi. Inabdi ujichekeche ili yakiwa kinyume na matamanio usimlaumu mtu bali ujilaumu mwenyewe. Ila katika kila ndoa msimamizi mkuu na mwanamke. Mwanamke akiamua ndoa idumu, itadumu na akiamua ife itakufa. Sisi wanaume huwa ni mikondoo katika maseala ya mahusiano ujue.
Ila kwa bahati mbaya mimi siyo chadema ni ccm. Ukumbuke kwa mtu ambaye ndoa ipo damuni, kuishi peke yake haiwezekani. ui put into task halmashauri ya ubongo wako itoe jibu usonge mbele. Mfungo mwema wa RamadhanAsante sana mkuu,nakuelewa sana Kamanda
🤣🤣🤣kamanda ni mwanaume yeyote jasiri....mkuu mi sijazoea kuishi kwenye ndoa maana ilikuwa ni long distance marriagesIla kwa bahati mbaya mimi siyo chadema ni ccm. Ukumbuke kwa mtu ambaye ndoa ipo damuni, kuishi peke yake haiwezekani.
Swali ni je, kuna mfanyabiashara yeyote ukiondoa hawa wa madafu anayeenda kuipanga mezani bidhaa yake ikulu?Wakienda wauza unga sawa, wakienda wauza madafu nongwa. Ama kweli, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!
ukiwa serious u end up na kiharusi, hata hutajua kimetokea wapi!!Siasa ni michezo michezo