BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mkuu nchi imejaaa wajinga sana hii sishangai. Vitu kama hivi utavikuta kwenye Taifa la wapumbavu kama TanzaniaHivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967