Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

Vitu vingine Rais awe anakaa huu ni ujinga na utoto.

Hawa watu hawana akili za kubuni matukio ya kuvutia watu attention,wawe wanasema tunawasaidia mawazo.

Mfano Kila Siku Rais anateua na kutengua,kama anataka attention hao anaowatengua hao anatakiwa akawatengue hadharani kwenye ziara.

Haoni Wasaidizi wake kama Mawaziri mfano Bashungwa ,Majaliwa ,Aweso nk wanawatumbua watu hadharani?

Kama mnataka maigizo hayo ndio Watz. Wajinga wanataka Sasa ila sio hii.Kuna mambo mengi ya msingi anaweza fanya ikiwemo kusaidia wenye uhaitaji hata Kwa kuwaandaa ila tuu iwe ziarani nk nk.
 
 
Kuna mmoja ameonekana na tight, helmet na Tshirt kapakiwa kwenye bodaboda majuzi huko Lindi wakasema ni mbunge anatembelea mafuriko
Hawa Viongozi wetu hata kama wameingia Madarakani kimagumashi wakipendeza hata sisi hasira zinapungua kidogo.
 
Mh. Rais atafute washauri. Aniite nimshauri bure kabisa. Hao waliomshauri avae hivyo akapite karibu na wauza madafu na picha ipigwe akipita tu bila lolote lingine hawamtakii mema. Hata watalii wanafanya zaidi.
 
Mh. Rais atafute washauri. Aniite nimshauri bure kabisa. Hao waliomshauri avae hivyo akapite karibu na wauza madafu na picha ipigwe akipita tu bila lolote lingine hawamtakii mema. Hata watalii wanafanya zaidi.
🤣🤣Makonda mbona ni mshauri mzuri kiwango Cha kimataifa,huyo atosha!
 
Ikulu ni ya wananchi, kwa hiyo mleta mada usiweweseka kuona kama ilikuwepo hafla wakawaita wauza madafu kadhaa wahudumie wageni ili kuongeza mazingira ya furaha na wauza madafu wajipatie riziki na fursa kuingia maeneo ya ikulu.
 
Mbona Mbowe alikuwa anakula nyama na machalii ya chuga?

Mara ngapi Lissu amekunywa kahawa kijiweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…