Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.