Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uuzaji wa rasilimali za Tanganyika kwa Waarabu na kuweka mazingira ya kupora uchaguzi aendelee kuongoza wakati hana uwezo na hatakiwi na wapigakura kutokana na kuzungukwa na watu wasiowaaminifu na wenye tamaa ya madaraka na kujilimbikizia mali ya umma.
 
Kwema wakuu?

Najiwazia hapa kama nitakuwa nje ya mstari sio kesi nikirekebiswa.

Toka mawaziri kadhaa watenguliwe na mabadiliko kufanyika katika taasisi ile.. Naona mauaji na utekaji umekuwa kwa kasi.

Je kuna uhusiano wowote hapa au ni coincidence tu
 
Sisi backbenchers tunakaaga kimya tu hata kama jambo tunalifahamu maana huwa tukijibu hata kikiwa sahihi tunaambiwa tunapiga kelele
 
Back
Top Bottom