Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1.Hamad Yusuph masayuni,
2. TISS,
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa fedha
5. IGP
6. MKUU wa mkoa wa Dodoma
7. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
8. Mkuu wa mkoa wa Tanga
9. DC Nzega
10. Ded Moshi MC
11. RPC GEITA
12. PROF mbarawa, uchukuzi
Wamefanyaje ?
 
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Watafutwe washikishwe adabu
 
Ukikubali kuchafuliwa basi hiyo shida unaitaka mwenyewe !

Labda mpaka mambo yaharibike zaidi ???!!!
😱
 
Rais ana chaguo moja tu la kujitenga na tuhuma hizi, aruhusu uchunguzi toka vyombo vya kimataifa kama Scotland Yard, FBI au Intepol. Kwa sababu mtuhumiwa mkubwa katika utekaji na haya mauaji ni vyombo vya Dola hasa Polisi na TISS, ni dhahiri uchunguzi utakaofanya wa vyombo hivi hivi hautatupatia ukweli.Hata mimi naamini Rais anahujumiwa na yeye anajua swali ni moja tu kwa nini hachukui hatua stahiki ili kujivua na jinamizi hili?
 
Ni hawa👇🏻👇🏻
View attachment 3095310
Lakini umemaliza andiko kwa uhovyo sana.

Unamaanisha nini kusema "unamwombea uongozi wake mpaka 2030?"

Wewe mwenyewe umesema kuwa "uongozi wa taifa - Urais ni tunu toka kwa Mungu mwenyewe na Mungu huyu humweka atamkaye ili aongoze watu wake"

Sina shaka na hilo. Nakubalina kabisa na wewe 100% kwenye hili, kwamba iko hivyo. Bahati mbaya kwako ni kuwa, huyu bibie mwisho wake ni sasa na si zaidi ya 2024!!

Kikubwa zaidi ni kutambua jambo moja kuwa, kuna wakati Mungu aweza ruhusu mfalme/Malkia/Rais mmoja mjinga mpumbavu, katili, mwovu, asiyestahili wala kuwa na uhalali atawale taifa/nchi fulani kwa muda fulani mfupi tu kwa kusudi maalumu pengine ili kutoa somo au fundisho fulani kwa watu wake

Na baada ya hapo anaruhusu tena mazingira fulani ya kutoka kwa huyo mtawala. Na mazingira hayo yanaweza kuwa kifo au kuondolewa tu kwa njia ya uchaguzi wa kawaida

Rejea Biblia yako na usome Agano la Kale vizuri. Kuna wafalme walikaa madarakani miezi mitatu tu, wengine mwaka kisha wakaondolewa aidha kwa kuuwawa (karibu wote walikuwa wakifa kwa kifo ambacho Mungu mwenyewe alikuwa anakiruhusu). Lakin wengine waliokuwa na kibali cha Mungu walitawala muda mrefu sana miaka 20, 30 hadi 40 au zaidi na kisha kufa kwa uzee...

Huyu mwanamke (Bi Samia) uwezo wake kiuongozi ktk level ya kiongozi mkuu wa nchi (Rais), ni below standards

Mimi nimetambua kuwa Mungu aliruhusu awe Rais kwa makusudi maalumu tu ya muda mfupi ambayo ni;

1. Wananchi tuone na kuelewa kuwa kiasili (naturally) nchi hii bado sana kuwa ktk nafasi ya kuwa na kiongozi mkuu (Rais) wa nchi mwanamke

2. Wananchi tuone ubaya na udhaifu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwamba, kwa aina hii ya Muungano ipo siku nchi zote mbili (Tanganyika & Zanzibar) zitakuja kuongozwa na raia wote wa Zanzibar. Siku hizo ndizo hizi. Ilifanyika huko nyuma (1985 - 1995) Wazanzibari wengine wawili walitawala kotekote Zanzibar wakijitawala wenyewe Lakini Tanganyika tukitawaliwa na mamluki toka hukohuko Zanzibar - Ally Hassan Mwinyi. Watanganyika bado hatukujifunzaga tu hadi Mungu katupa nafasi ya pili tena tujifunze na tuchukue maamuzi magumu

3. Ili Watanganyika tutambue kuwa, tutaendelea kuwa wajinga na kutojitambua hadi lini kiasi cha raia wa nchi nyingine ya Zanzibar kutawala nchi yetu ya Tanganyika? Mimi nimejitambua, sitaki tena upuuzi huu!!

HIVYO KWA KUMALIZIA: Nakuhakikishia hivi leo hapa na usiku huu kuwa, Bi Samia Suluhu Hassan ameshatimiza kusudi la Mungu la yeye kujikuta tu ktk nafasi hiyo ya u - Rais wa Tanganyika. Hawezi kwenda zaidi 2024 au 2025!

She has already accomplished her mission of her stay in that position. She's no longer needed and ofcoz we don't need her anymore
Mwinyi kwao mkuranga. Mkuu...sasa ndio utajiongeza kwamba ni mamluki kutoka wapi...
 
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
We unamzungumzia kama nani?
Ye kasema ni drama, we unasema anachafuliwa..
 
Kama una mpenda Samia mwambie alete vyombo vya uchunguzi vya kimataifa visivyo kuwa na upendeleo wowote vichunguze ni nani yuko nyuma ya utekaji na mauwaji ya watanzania wasio kuwa na hatia.
Hapa ndio tutajua kweli kuna watu wanamhujum Rais na kwamba anania ya kuwakomesha hao wanaomhujum.
 
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Rais ni taasisi
 
Back
Top Bottom