Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Rudi darasani mkuu, bado haujachelewa.Aisee?! Ungeandika tu kwa kiswahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi darasani mkuu, bado haujachelewa.Aisee?! Ungeandika tu kwa kiswahili.
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
that’s it 👍Haven't you heard, that an old dog can not learn new tricks? I am too old my dear boy.
Anajichafua mwenyewe kwa kuwalea watekaji na wauaji.Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Ni kweli mama. Hata sasa najua hutaki kabisa kugombea urais 2025, lkn mwanao Abdul ndiyo anakulazimisha.Nashukuru sana mwanangu. Ila nikwambie tu mimi mama yako sikuwahi kutamani kabisa kuwa rais. Hata kuwa makamu sikugombea wala sikujaza fomu ya maombi. Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia./
Huwezi mtetea chura alieamua kuziba maskio, ukweli ni kua hatuna rais mwenye mamlakaNaona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Umesema vizuri mkuu,ila hapo kwenye namba 1 tusahihishe hivi,;Ni kosa kubwa sana na nikujitakia laana mbele za MUNGU kwa kumpa mwanamke mamlaka ya kutawala Taifa.Hakuna wakati MUNGU aliwahi kuruhusu hili na hatupaswi kufanya hili kosa tena.Ni hawa👇🏻👇🏻
View attachment 3095310
Lakini umemaliza andiko kwa uhovyo sana.
Unamaanisha nini kusema "unamwombea uongozi wake mpaka 2030?"
Wewe mwenyewe umesema kuwa "uongozi wa taifa - Urais ni tunu toka kwa Mungu mwenyewe na Mungu huyu humweka atamkaye ili aongoze watu wake"
Sina shaka na hilo. Nakubalina kabisa na wewe 100% kwenye hili, kwamba iko hivyo. Bahati mbaya kwako ni kuwa, huyu bibie mwisho wake ni sasa na si zaidi ya 2024!!
Kikubwa zaidi ni kutambua jambo moja kuwa, kuna wakati Mungu aweza ruhusu mfalme/Malkia/Rais mmoja mjinga mpumbavu, katili, mwovu, asiyestahili wala kuwa na uhalali atawale taifa/nchi fulani kwa muda fulani mfupi tu kwa kusudi maalumu pengine ili kutoa somo au fundisho fulani kwa watu wake
Na baada ya hapo anaruhusu tena mazingira fulani ya kutoka kwa huyo mtawala. Na mazingira hayo yanaweza kuwa kifo au kuondolewa tu kwa njia ya uchaguzi wa kawaida
Rejea Biblia yako na usome Agano la Kale vizuri. Kuna wafalme walikaa madarakani miezi mitatu tu, wengine mwaka kisha wakaondolewa aidha kwa kuuwawa (karibu wote walikuwa wakifa kwa kifo ambacho Mungu mwenyewe alikuwa anakiruhusu). Lakin wengine waliokuwa na kibali cha Mungu walitawala muda mrefu sana miaka 20, 30 hadi 40 au zaidi na kisha kufa kwa uzee...
Huyu mwanamke (Bi Samia) uwezo wake kiuongozi ktk level ya kiongozi mkuu wa nchi (Rais), ni below standards
Mimi nimetambua kuwa Mungu aliruhusu awe Rais kwa makusudi maalumu tu ya muda mfupi ambayo ni;
1. Wananchi tuone na kuelewa kuwa kiasili (naturally) nchi hii bado sana kuwa ktk nafasi ya kuwa na kiongozi mkuu (Rais) wa nchi mwanamke
2. Wananchi tuone ubaya na udhaifu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwamba, kwa aina hii ya Muungano ipo siku nchi zote mbili (Tanganyika & Zanzibar) zitakuja kuongozwa na raia wote wa Zanzibar. Siku hizo ndizo hizi. Ilifanyika huko nyuma (1985 - 1995) Wazanzibari wengine wawili walitawala kotekote Zanzibar wakijitawala wenyewe Lakini Tanganyika tukitawaliwa na mamluki toka hukohuko Zanzibar - Ally Hassan Mwinyi. Watanganyika bado hatukujifunzaga tu hadi Mungu katupa nafasi ya pili tena tujifunze na tuchukue maamuzi magumu
3. Ili Watanganyika tutambue kuwa, tutaendelea kuwa wajinga na kutojitambua hadi lini kiasi cha raia wa nchi nyingine ya Zanzibar kutawala nchi yetu ya Tanganyika? Mimi nimejitambua, sitaki tena upuuzi huu!!
HIVYO KWA KUMALIZIA: Nakuhakikishia hivi leo hapa na usiku huu kuwa, Bi Samia Suluhu Hassan ameshatimiza kusudi la Mungu la yeye kujikuta tu ktk nafasi hiyo ya u - Rais wa Tanganyika. Hawezi kwenda zaidi 2024 au 2025!
She has already accomplished her mission of her stay in that position. She's no longer needed and ofcoz we don't need her anymore
wanajijua na wanajulikana !Waroho wa Madaraka ndani ya CCM?
Huu ujinga wa mawazo upo Tanzania tu. Yaani rais na nguvu zote alizonazo eti mtu akitekwa na polisi au TISS mnasema kuna watu wanataka kumchafua! Ujinga mtupu. Vita ni kweli vipo ila yeye ndiye anayetoa go on ya watu kutekwa ili kupambana na watu anaodhani ni tishio kwake. Na kutaka kufanya wengine waogope.Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Tatizo ni yeye Dkt Samia. Alidhani Dkt Magufuli alikuwa dikiteta na kiongozi mbaya. Nadhani amejionea jinsi alivyoharibikiwa now. CCM ni chama Dume! Tutavuka tuNaona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.
Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?
Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.
Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Wabaya wake wamo Chamani kwake 😳Tatizo ni yeye Dkt Samia. Alidhani Dkt Magufuli alikuwa dikiteta na kiongozi mbaya. Nadhani amejionea jinsi alivyoharibikiwa now. CCM ni chama Dume! Tutavuka tu
Nijuavyo mimi ukichafuliwa ni rahisi kujisafisha kuliko ukijichafuaMsijifanye kuwatetra Marais ndio hao hao wanafanya uhuni alafu mnasema wanavhafuliwa unayo mamlaka unavhafuliwaje yaani kuamuru jeshi litoe taarifa ndani ya saa 24 au 72 unashindwa? Kuna watu wanashukiwa kufanya maovu yeye hasikii kwanini wasiitwe wahojiwe?
Akuna cha kumchafua ni yeye mwenyewe anahusika otherwise aamuru ndani ya muda flani uchunguzi ukamilike tuone kama si yeye
Bibi na wewe unashindwa kutafakari mambo? Yaani unamsikiliza kabisa huyo gaidi shehe ubwabwa? Dr Slaa alikuwa kashafika bei na moja ya makubaliano ni kusema hayo aliyoyasema na ndiyo maana hakuna kesi iliyofunguliwa kuhusu chadema kumteka huyo mtu ,ni propaganda tu.
Nilikuwa natafuta hii comment kabla ya mm kucommentjanuari mikamba and co.
Ccm kiingereza kiliwakataa kabisa. Ndio umeandika nini hicho?Samia for President.