Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1.Hamad Yusuph masayuni,
2. TISS,
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa fedha
5. IGP
6. MKUU wa mkoa wa Dodoma
7. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
8. Mkuu wa mkoa wa Tanga
9. DC Nzega
10. Ded Moshi MC
11. RPC GEITA
12. PROF mbarawa, uchukuzi
Wamefanyaje ?
 
Watafutwe washikishwe adabu
 
Ukikubali kuchafuliwa basi hiyo shida unaitaka mwenyewe !

Labda mpaka mambo yaharibike zaidi ???!!!
😱
 
Rais ana chaguo moja tu la kujitenga na tuhuma hizi, aruhusu uchunguzi toka vyombo vya kimataifa kama Scotland Yard, FBI au Intepol. Kwa sababu mtuhumiwa mkubwa katika utekaji na haya mauaji ni vyombo vya Dola hasa Polisi na TISS, ni dhahiri uchunguzi utakaofanya wa vyombo hivi hivi hautatupatia ukweli.Hata mimi naamini Rais anahujumiwa na yeye anajua swali ni moja tu kwa nini hachukui hatua stahiki ili kujivua na jinamizi hili?
 
Mwinyi kwao mkuranga. Mkuu...sasa ndio utajiongeza kwamba ni mamluki kutoka wapi...
 
We unamzungumzia kama nani?
Ye kasema ni drama, we unasema anachafuliwa..
 
Kama una mpenda Samia mwambie alete vyombo vya uchunguzi vya kimataifa visivyo kuwa na upendeleo wowote vichunguze ni nani yuko nyuma ya utekaji na mauwaji ya watanzania wasio kuwa na hatia.
Hapa ndio tutajua kweli kuna watu wanamhujum Rais na kwamba anania ya kuwakomesha hao wanaomhujum.
 
Rais ni taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…