Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..Mama Samia anajichafua mwenyewe.

..haonyeshi kukerwa na tatizo la utekaji.
 
A Anajichafua mwenyewe kwa kuwalea watekaji na wauaji.
 
Nashukuru sana mwanangu. Ila nikwambie tu mimi mama yako sikuwahi kutamani kabisa kuwa rais. Hata kuwa makamu sikugombea wala sikujaza fomu ya maombi. Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia./
Ni kweli mama. Hata sasa najua hutaki kabisa kugombea urais 2025, lkn mwanao Abdul ndiyo anakulazimisha.

Angalia usije ukapogwa KURJUAN mama uka-rest in peace, maana wadanganyika hawakutaki kabisa.
 
Huwezi mtetea chura alieamua kuziba maskio, ukweli ni kua hatuna rais mwenye mamlaka
 
Waroho wa Madaraka ndani ya CCM?
 
Umesema vizuri mkuu,ila hapo kwenye namba 1 tusahihishe hivi,;Ni kosa kubwa sana na nikujitakia laana mbele za MUNGU kwa kumpa mwanamke mamlaka ya kutawala Taifa.Hakuna wakati MUNGU aliwahi kuruhusu hili na hatupaswi kufanya hili kosa tena.
 
Waroho wa Madaraka ndani ya CCM?
wanajijua na wanajulikana !
Hata yeye anawajua 😳
Hata Chalamila alisemaga atawataja 😳
Makonda pia alisemaga ni kweli pale Umasaaini kuhusu watu wanaoutaka Uprezidaa ??! Nimesahau kidogo 😳

Wanayapima maji kwa mguu ?
Mwingine Eti labda mambo yaharibike zaidi 🙄

Hiiii iko Kazi ! Tamaa huwa haina mwisho !
Wanasemaga Nguvu ya Mamba kumayi !
Ngoja Tusubiri tuone hii sinema !
 
Huu ujinga wa mawazo upo Tanzania tu. Yaani rais na nguvu zote alizonazo eti mtu akitekwa na polisi au TISS mnasema kuna watu wanataka kumchafua! Ujinga mtupu. Vita ni kweli vipo ila yeye ndiye anayetoa go on ya watu kutekwa ili kupambana na watu anaodhani ni tishio kwake. Na kutaka kufanya wengine waogope.
 
Tatizo ni yeye Dkt Samia. Alidhani Dkt Magufuli alikuwa dikiteta na kiongozi mbaya. Nadhani amejionea jinsi alivyoharibikiwa now. CCM ni chama Dume! Tutavuka tu
 
Tatizo ni yeye Dkt Samia. Alidhani Dkt Magufuli alikuwa dikiteta na kiongozi mbaya. Nadhani amejionea jinsi alivyoharibikiwa now. CCM ni chama Dume! Tutavuka tu
Wabaya wake wamo Chamani kwake 😳

Wahenga walisemaga Kikulacho ki nguoni mwako 😳🙌👍

au nasema uongo ndugu zanguni ???!!!
😱
 
Nijuavyo mimi ukichafuliwa ni rahisi kujisafisha kuliko ukijichafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…