Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali mbali ya ki pepo / ya kurogwa . Mimi napinga watu wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta utajiri / nyota , hakuna kitu kama hicho, ila linapokuja suala la afya nabariki mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji pale ambapo amejiridhisha matatizo yake ni ya kurogwa / uchawi
View: https://www.instagram.com/reel/DR2bf12DY9W/?igsh=d3d0bDQ2bmQ1eXBp
View: https://www.instagram.com/reel/DR2bf12DY9W/?igsh=d3d0bDQ2bmQ1eXBp