Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

Dhambi ni concept ya kidhalimu na kikoloni. Ni dhana inayotumika kukejeli, kudhalilisha na kutokomeza tamaduni zisizoendana na zile watakazo mabeberu.
Ndiyo maana wengine tulishaacha hizo dhana za dhambi. Focus ni moja: Kutokufanya mambo yanayodhulumu utu na ubinadamu wa mwingine.
Hii ni hoja ya mtu aliyepita darasani , kudos
 
Unataka kuhalalisha dhambi, waganga wa kienyeji ni wachawi, mkristo mteule hapaswi kwenda kwenye ushirikina huo, imani ya maombi inatosha, huwezi kuwa double standard kwa waganga wa kienyeji na ukristo wokovuni
Siku ukija kurogwa utapata akili
 
Yeremia 17:5
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa Kinga yake na moyoni mwake amemwacha Bwana"

Kulingana na hayo maandiko nathibitisha kwamba ni dhambi kwenda kwa mganga. Mganga ni mwanadamu kama wewe, kitendo Cha kumtegemea yeye akupe hirizi Ili iwe Kinga kwako ni kujitafutia laana.
Kwahiyo unataka kusema tukiumwa tusiende hospitalini ni kumtegemea mwanadamu . Maana hakuna tofauti kati ya tiba za kienyeji na za hospitalini
 
Ni noma
Kujiua ni dhambi
Kwenda kwa mganga nako dhamb
Mungu pekee
 
Ni noma
Kujiua ni dhambi
Kwenda kwa mganga nako dhamb
Mungu pekee
 
Haya mambo ya uchawi na ushirikina yanahitaji kuyatafakari vizuri
 
Hivi kwanini ushirikina unahusishwa na tiba za masuala ya kiroho tu? Yani unaweza kukuta mmea mmoja huo huo ukiutumia kwa maradhi ya kibaolojia sio ushirikina ila ukitumia kwa kutibu maradhi ya kiroho inakuwa ushikirina?
Lengo ni kuua Soko la tiba za asili ili kuweka uthamani katika tiba za Kisayansi na za kilokole

So ni suala la Vita ya kiuchumi tu katika tasnia ya Utabibu ,

Katika Tasnia ya Utabibu the way ilivyo Utabibu ni Taasisi kubwa sana Ama Pana sana Ukweli ni kwamba Binaadamu tuna tatizwa na magonjwa ya Mwili na magonjwa ya kiroho na mwili

Yale ya kimwili utapona hospitali hizi za kisasa na pia unaweza kupona Kwa waganga wa kienyaji Kwa kiwango Cha asilimia 40 lakini Kwa zile tiba za kiroho na mwili hizi mara zote utapona Kwa waganga wa kienyeji tu na somehow Kwa Wachungaji endapo kama utakutana na mganga wa kweli na mchungaji wa kweli na sio wale janja janja

So suala la Tiba ya binaadamu ni suala mtambuka sio issue nyepesi kama watu wengi wanavyo dhania ,

So shida inakuja pale ambapo Wachungaji wajanja wajanja wanapo taka influence ya kuwapata waumini wa kuwapiga pesa ni lazima tu wata criticize Waganga wa kienyaji na juhudi zao ili tu watu waache kwenda huko waweze kwenda makanisani na wao waweze kuwapiga pesa

Ila Sasa kama kweli tuna Akili Timamu jiulize swali mnamo karne ya 17 kurudi nyuma kabla ukiristo na uislam kuchukua nafasi kubwa katika jamii na kabla ya tiba za Kisayansi hizi za kwenda hospital hazija sambaa Africa watu walikuwa wakiumwa walikuwa Wana tibiwa vipi !? Je hapakuwa na watu katka karne hizo !? Nadhani jibu unalo

Jambo lingine pia Dunia ya Leo ni Kijiji technology imerahisisha sana mawasiliano ktk mawasiliano tunapata kujifunza vitu vingi sana

Baadhi yetu ni wapenzi wa series za China na Korea kiasi Tunapo tazama series zao tuna kutana na mazingira yanayo waonyesha watu wajamii zao Wana tumia uganga wa tiba za asili kabisa katika kutibiana maradhi mbali mbali na kubwa zaidi wanafanya mpaka matambiko Kwa ancestors wao na wanafanikiwa

Swali la kujiuliza ni Je Tanzania kama Taifa tuna wazidi china na Korea kusini kiuchumi kiteknolojia kisiasa Kisayansi and the like !!!? Kama hatuwawezi Kwa chochote kile katika hayo mambo tajwa

Inakuwaje wao Bado Wana amini ktk nguvu ya uganga wa dawa za asili na matambiko Kwa ancestors wao kuwa ni kitu muhimu na Bado Wana fanikiwa ktk nyanja mbali mbali za kijamii na kitaifa Kwa ujumla Kwanini sisi watanzania Kama Taifa wengi wetu hatuamini katika hayo lakini Bado Taifa letu ni maskini na tumeachwa mbali sana na china na Korea kusini kiuchumi na Kila kitu wakati wao Wana amini katika Imani za mitishamba na matambiko na Wana fanikiwa Kila uchwao !!! ??

Nadhani Africa Akili zetu zimechacha miti shamba uganga ni Asili na hauwezi kushindana na Asili
 
Lengo ni kuua Soko la tiba za asili ili kuweka uthamani katika tiba za Kisayansi na za kilokole

So ni suala la Vita ya kiuchumi tu katika tasnia ya Utabibu ,

Katika Tasnia ya Utabibu the way ilivyo Utabibu ni Taasisi kubwa sana Ama Pana sana Ukweli ni kwamba Binaadamu tuna tatizwa na magonjwa ya Mwili na magonjwa ya kiroho na mwili

Yale ya kimwili utapona hospitali hizi za kisasa na pia unaweza kupona Kwa waganga wa kienyaji Kwa kiwango Cha asilimia 40 lakini Kwa zile tiba za kiroho na mwili hizi mara zote utapona Kwa waganga wa kienyeji tu na somehow Kwa Wachungaji endapo kama utakutana na mganga wa kweli na mchungaji wa kweli na sio wale janja janja

So suala la Tiba ya binaadamu ni suala mtambuka sio issue nyepesi kama watu wengi wanavyo dhania ,

So shida inakuja pale ambapo Wachungaji wajanja wajanja wanapo taka influence ya kuwapata waumini wa kuwapiga pesa ni lazima tu wata criticize Waganga wa kienyaji na juhudi zao ili tu watu waache kwenda huko waweze kwenda makanisani na wao waweze kuwapiga pesa

Ila Sasa kama kweli tuna Akili Timamu jiulize swali mnamo karne ya 17 kurudi nyuma kabla ukiristo na uislam kuchukua nafasi kubwa katika jamii na kabla ya tiba za Kisayansi hizi za kwenda hospital hazija sambaa Africa watu walikuwa wakiumwa walikuwa Wana tibiwa vipi !? Je hapakuwa na watu katka karne hizo !? Nadhani jibu unalo

Jambo lingine pia Dunia ya Leo ni Kijiji technology imerahisisha sana mawasiliano ktk mawasiliano tunapata kujifunza vitu vingi sana

Baadhi yetu ni wapenzi wa series za China na Korea kiasi Tunapo tazama series zao tuna kutana na mazingira yanayo waonyesha watu wajamii zao Wana tumia uganga wa tiba za asili kabisa katika kutibiana maradhi mbali mbali na kubwa zaidi wanafanya mpaka matambiko Kaawa ancestors wao na wanafanikiwa

Swali la kujiuliza ni Je Tanzania kama Taifa tuna wazidi china na Korea kusini kiuchumi kiteknolojia kisiasa Kisayansi and the like !!!? Kama hatuwazi Kwa chochote kile katika hayo mambo tajwa

Inakuwaje wao Bado Wana amini ktk nguvu ya uganga wa dawa za asili na matambiko Kwa ancestors wao kuwa ni kitu muhimu na Bado Wana fanikiwa ktk nyanja mbali mbali za kijamii na kitaifa Kwa ujumla Kwanini sisi watanzania Kama Taifa wengi wetu hatuamini katika hayo lakini Bado Taifa letu ni maskini na tumeachwa mbali sana na china na Korea kusini kiuchumi na Kila kitu wakati wao Wana amini katika Imani za mitishamba na matambiko !!! ??

Nimekupata sana hapo mkuu.
 
Umeandika vizuri sana kila mwenye akili atakuelewa
 
Kwa kuongezea wapo watu wanajiita wachungaji wanatumia nguvu za giza katika makanisa yao
 
Mkuu Mambo yakikubana we Nenda Tu Kwa mtalamu,. Usiianze kutafuta justifications za waja au cocastic unasemaje?
 
Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali mbali ya ki pepo / ya kurogwa . Mimi napinga watu wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta utajiri / nyota , hakuna kitu kama hicho, ila linapokuja suala la afya nabariki mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji pale ambapo amejiridhisha matatizo yake ni ya kurogwa / uchawi

View: https://www.instagram.com/reel/DR2bf12DY9W/?igsh=d3d0bDQ2bmQ1eXBp

Mkuu binafsi nimekuelewa sana kwa Logic yako ila Nina wasiwasi juu ya jambo fulani sensitive naomba nikushirikishe.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke almost kwa miaka miwili nilikuwa nampenda sana na alikuwa ananipenda sana

Ila tulishindana tabia kutokana na jeuri na dharau zake mpaka tukaachana.

Ila cha ajabu mkuu baada ya kuingia kwenye mahusiano na huyo mwanamke mambo yangu yakawa magumu sana maisha yakawa magumu sana madeni yakawa madeni kifupi changamoto zilikuwa haziishi kila Leo

Ila baada ya kuachana nae angalau mambo yanaanza kufunguka nahisi kama nilikuwa nimepigwa kufuri kwenye mafanikio

Je nataka kujua hili suala huwa lina ukweli au ni perspective zangu TU??
Na mambo Gani yanayo weza kufanya mwanamke awe na gundu mana nilimkuta bikra kabisa ila ndio hivyo

Mbaya zaidi Nina miezi sita nimeachana nae ila Bado Yuko akilini mwangu hii ni Nini naomba msaada wa ushauri wa kiroho

Ahsante
 
Waganga wanasaidia sana. Kuna washenzi wanataka kukuzuilia riziki yako, hao ni kiwapiga supana ambazo hazifunguki ma*ma*e.

Kuna mpuuzi alijifanya kutaka kuniharibia mirija ya riziki yangu, k*m*ani*na nilichomfanya hatokuja akafanya chochote kikafanikiwa maisha yake yote mseng* yule

Sindano ya sh 100 tu imefunga mirija yake yote
Kizibo nakujako pm
 
Naam mkuu nimesoma nimekuelewa ila kwa ufahamu wangu mimi mwanamke anaweza akawa kikwazo ktk maemdeleo ya mwanaume kwa tabia zake na lifestyle yake mfano sio kuwa mshauri mzuri , kukosa nidhamu ya fedha , kukuvuruga kiakili kila wakati , nje ya hapo nafikiri ulikuwa tu wakati wako wa msoto
 
Waganga wanasaidia sana. Kuna washenzi wanataka kukuzuilia riziki yako, hao ni kiwapiga supana ambazo hazifunguki ma*ma*e.

Kuna mpuuzi alijifanya kutaka kuniharibia mirija ya riziki yangu, k*m*ani*na nilichomfanya hatokuja akafanya chochote kikafanikiwa maisha yake yote mseng* yule

Sindano ya sh 100 tu imefunga mirija yake yote
Mwenyezi Mungu ndio anagawa ridhiki kama unaamini umeziba ya mwenzio mwenyezi Mungu atakujibu kwa vitendo
 
Back
Top Bottom