Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #21
Bado akili yako haijapevukaUshindwe
Bado akili yako haijapevukaUshindwe
Tupe msimamo wako , ni dhambi au sio dhambi
Maombi peke yake hayatoshi mkuu!Unataka kuhalalisha dhambi, waganga wa kienyeji ni wachawi, mkristo mteule hapaswi kwenda kwenye ushirikina huo, imani ya maombi inatosha, huwezi kuwa double standard kwa waganga wa kienyeji na ukristo wokovuni
Shida naiona ipo sana upande wetu wa kristo , tiba za kienyeji zinapigwa vita sana na walokole wakihususha na ushirikinaHivi kwanini ushirikina unahusishwa na tiba za masuala ya kiroho tu? Yani unaweza kukuta mmea mmoja huo huo ukiutumia kwa maradhi ya kibaolojia sio ushirikina ila ukitumia kwa kutibu maradhi ya kiroho inakuwa ushikirina?
Pse clarify, connection ipi hiyo ?mkuu heshima yako,usituache bila konekshen tafadhal
Tatizo watu wanakuwa wepesi sana kutaja neno ushirikina kama wamekariri tu, hapa ukisema uulize watu waelezee huo ushirikina ni nini hasa utaona jinsi watu wanavyojichanganya.Shida naiona ipo sana upande wetu wa kristo , tiba za kienyeji zinapigwa vita sana na walokole wakihususha na ushirikina
Siku wakirogwa akili zitawakaa sawaTatizo watu wanakuwa wepesi sana kutaja neno ushirikina kama wamekariri tu, hapa ukisema uulize watu waelezee huo ushirikina ni nini hasa utaona jinsi watu wanavyojichanganya.
Kwanza wengi wanafki wakiwa na shida zao wanaenda kwa waganga ila wakija mbele za watu hujifanya kupinga jambo hilo kuwa ni ushirikina.Siku wakirogwa akili zitawakaa sawa
Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali mbali ya ki pepo / ya kurogwa . Mimi napinga watu wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta utajiri / nyota , hakuna kitu kama hicho, ila linapokuja suala la afya nabariki mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji pale ambapo amejiridhisha matatizo yake ni ya kurogwa / uchawi
View: https://www.instagram.com/reel/DR2bf12DY9W/?igsh=d3d0bDQ2bmQ1eXBp
Shida ipo hapa,. wengi wamevamia hii tasniaWewe nawe utakuwa ni mmiliki mmojawapo wa kilinge, anyway kwenda kwa sangoma si dhambi ila wengi ni kanjanja upigaji mwingi.
Sure lo
By JK Wa Msoga Chalinze
Sawa mkuu hivi sasa ni sita usiku, teari nimeshapiga vyombo kichwani, acha kukuche nitakuja kukujibu hoja yako kwa uzito zaidi.Mh. Mjusi mimi similiki kilinge ila nimezungumza kusaidia watu kimawazo kwamaana wapo watu wanaogopa kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji mpka nafikia umri huu nimeshuhudia mengi watu walio sumbuka na magonjwa wakaponea kwenye tiba za kienyeji na pia nimesikia mengi kuhusu upotoshaji wa tiba za kienyeji
NasubiriSawa mkuu hivi sasa ni sita usiku, teari nimeshapiga vyombo kichwani, acha kukuche nitakuja kukujibu hoja yako kwa uzito zaidi.
Si ajabu kwa hao wachungaji kutafuta tiba za kienyeji ni tiba kama zilivyo ziba zengine , kuhusu kukutana na maganga tapeli hiyo inawezekana alikuwa tapeli ila sio wote wapo hivyo , kwani hakuna viongozi wa dini ambao ni matapeli ?Wakati nikiwa mdhambi siku moja asubuhi nilienda kwa mganga nikamkuta kachoka balaa ikabidi nimuulize kulikoni? Akajibu usiku mzima alikuwa anatibu wachungaji wa kilokole... nilishangaa sana.
Mimi niliacha kwenda kwa mganga baada ya mganga mmoja kunidanganya kuwa niende kwenye supermarket fulani katikati ya mji wa Arusha wataniuzia maji ya bahari. Nilivyofika na kumuuliza kijana fulani aliyekua mfanyakazi yule kijana alinijibu kwa sauti "MAJI YA BAHARI HATUNA HALAFU WEWE ITAKUWA UMETUMWA NA MGANGA"... Watu wote wakanigeukia kunitazama ikabidi niondoke kwa aibu kuu maishani.
Sikurudi kwa mganga. Kuna siku mganga akanipigia simu kuwa nimlipe 150k kwa sababu kuna gharama alishatumia. Nikamtukana na kumwambia silipi afanye chochote. Hakuna kibaya kilichotokea zaidi ya mambo yangu kuanza kunyooka.