Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
me naona Darassa anastahili maana Kichuya hatukumjua miaka iliyopita hadi Alivyoletwa Mavugo kwenye ile ajali iliyoua wabrazili
 
The Boss na Heaven Sent are my favorite... Nas hady huwa najaribu imagine how they look like lok
 
Heheh mgema akisifiwaa ror..
 
Mkuu angalia kigezo namba 2.
Halafu tuambie huyo kwenye namba 5.
Ulizingatia vigezo gani.
Ushauri member wengi wa JF wapo based ki majukwaa mfano mimi jukwaa langu humu ni moja tu lakini mengine huwa napita kusoma kisha nalala mbele.
Thread yako inge noga kama ungezingatia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…