Wewe unafaa tuzo ipi?We mchaga unafujo sana
Na mimi ndio nashangaahuyo lizaboni atolewe,awekwe barafu
kwani mmetumia vigezo gani mpaka mmemuacha barafu mkuu britanicca
cc FisadiKuu
Wewe unaona hilo linyani linafaa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujaachaga tu huu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Alieipanga hii list hana tofauti na yaliyofanyika dodoma, Mshana jr kakatwa[emoji37]
Mimi mwenyewe nilikuwa na majina yangu mfukoni ,nikasema kwa Mshana kutowekwa isiwe tabu ,tutapindua tu matokeo na atayeleta fyokofyoko rasi Nyoka lazima awe mwenyeji wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ashindane na weweSio warumi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anafundisha nini? Ushirikina
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Nyani ngabu ana nini cha maana? Au kakuhaidi kukupeleka ukabebe box
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Nashindwa kupiga kura maana karibu wote uliowaorodhesha wananifuata pm kuulizia why role model wao sipo?? [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Pasco anafaa.
Lakini mbona nikiangalia hapo ninaona kuna watu wachawi!! wanafanya nini kwenye hiyo orodha. kama huyo MJ.
Wamekutoa.......!!! hapo sawa sasa.
Sijui alitumia vigezo gani kukuweka hapo mwanzo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mshana JR ungemshindanisha kwa kuanzisha mada za uganga na ushirikina. Halafu washindani wenza wake wawe MziziMkavu, Kiranga na wale jamaa wengine.
Bujibuji ungemwanzishia shindano la wala nguruwe, yaani hapo unakuwa umemfikisha
maoni yangu wakuu
We mpare mshirikina sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mimi mwenyewe nilikuwa na majina yangu mfukoni ,nikasema kwa Mshana kutowekwa isiwe tabu ,tutapindua tu matokeo na atayeleta fyokofyoko rasi Nyoka lazima awe mwenyeji wake