Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Inafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani.
Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna yoyote ile; iwe kwa fedha,mali, nafasi n.k.
Kuhonga kumekuwa hakuepukiki, wengine maendeleo yetu yamekuwa yakisuasua kutokana na hii hali ya kuhonga sana.
Sasa najiuliza, mkunaji na mkunwaji ni nani anayenufaika zaidi?