Ni nani anayenufaika zaidi kwenye mahusiano?

Ni nani anayenufaika zaidi kwenye mahusiano?

Kwa hiyo ni bora tuendelee kugharamika tu?
Inategemea unatazama vipi maisha maana kuna age ukifika unabidi kuwa mbinafsi nikimaanisha unabidi kuwa selfish zaidi na sio kwa ubaya kwakuwa wewe ukiwa financial broke au ukipata tatizo ugonjwa wa kudumu sifikirii kama hao wanawake watasimama na wewe

Ikiwa ushafanya Sana ngono you have to start to think other side of life.
 
Hilo jambo haihitaji utafiti wa kisayansi kabisa.Wanaonufaika ni wanawake.Wao akili zao kimahesabu huwa wanafikiria kumiliki mali zinazotafutwa na mwanaume.Kama na yeye ana mali hawezi kukubali ziende au hata kutumika kwa pamoja.Chake-chake,cha mume chao kwa muda fulani wakati anapigia hesabu za kutwaa vyote.
NB;Nimejikita kwenye unufaikaji wa mali/vitu/fedha nk.Kuhusu mapenzi,wote wanafaidika kama wote ni wazima kiafya/kimuitikio wa mapenzi.
Kwenye shoo,yupi anayesikia raha zaidi?
 
Inategemea unatazama vipi maisha maana kuna age ukifika unabidi kuwa mbinafsi nikimaanisha unabidi kuwa selfish zaidi na sio kwa ubaya kwakuwa wewe ukiwa financial broke au ukipata tatizo ugonjwa wa kudumu sifikirii kama hao wanawake watasimama na wewe

Ikiwa ushafanya Sana ngono you have to start to think other side of life.
Kuna jambo la kujifunza hapa; ukiamua kuwa mbinafsi, vipi kuhusu hizo huduma zingine, utakuwa uko tayari kuachana nazo?
 
Sasa hawa wenzetu, kwa nini wanakuwa na jeuri, usipotekeleza kitu fulani hawaji? au hawataki kupata raha?
Maumbile yao kiasili ndivyo walivyo.Ni namna ya kutafuta timings na kutumia uwezo zaidi wa kumsoma.Yeye anapoangalia daraja lililopo mbele yake wewe uwe umeshavuka na kumuandalia kamba ya kupandia mlima.One step ahead!
 
Inafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani.

Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna yoyote ile; iwe kwa fedha,mali, nafasi n.k.

Kuhonga kumekuwa hakuepukiki, wengine maendeleo yetu yamekuwa yakisuasua kutokana na hii hali ya kuhonga sana.

Sasa najiuliza, mkunaji na mkunwaji ni nani anayenufaika zaidi?
​
Wanaokunana
 
Wanawake ndo wanafaidi sana ndo maana wanaume skuiz nao wanataka wawe wanawake kwanguvu hivyo kupelekea wimbi kubwa la ongezeko la ushoga.
 
Back
Top Bottom