Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #41
Eti kiroho 🤣🤣🤣🤣Hebu njoo kimwili nikuone
Jiandae, wkend hii mimi ni mgeni wako, uje unipokee pale kituo cha basi cha mtakuja, nitakuletea mafenesi mawili, si unayapenda?
Eti kiroho 🤣🤣🤣🤣Hebu njoo kimwili nikuone
Inategemea unatazama vipi maisha maana kuna age ukifika unabidi kuwa mbinafsi nikimaanisha unabidi kuwa selfish zaidi na sio kwa ubaya kwakuwa wewe ukiwa financial broke au ukipata tatizo ugonjwa wa kudumu sifikirii kama hao wanawake watasimama na wewe
Ikiwa ushafanya Sana ngono you have to start to think other side of life.
Tatizo ni ile hali ya kupenda kupitilizaMadhara ya kukulia nauli yako, hayalingani na madhara ya muda atakaupoteza kwenye mahusiano yasiyoeleweka
Fafanua zaidiWanaokunana
Hapana mkuu mchana huwa sili kabisa mpaka sa tatuUmekula mchana kweli?
🤣🤣Natamani nizeeke na wewe, na hii baridi ya huku si mchezoo
Tatizo ni ile hali ya kupenda kupitiliza
Nini kifanyike?Haiuzwi wala haitolewi bure
Mkunaji na mkunwaji wote wana enjoy.Fafanua zaidi
Kuna pisi ikipita moyo unaenda mbio, hapo unasemaje?Nani, Wewe au mwanamke?
Demand & SupplySasa hawa wenzetu, kwa nini wanakuwa na jeuri, usipotekeleza kitu fulani hawaji? au hawataki kupata raha?
Tatzo una uhabaa wa pisi,Kuna pisi ikipita moyo unaenda mbio, hapo unasemaje?
KweliKiuhalisia,
Mnufaika mkubwa wa mahusiano (yanapokua hai) ni Mwanamke
Ila pia,
Mwathirika mkubwa wa mahusiano ( yanapovyinjika) ni mwanamke
Sisi wanaume Mara nyingi tunavichache sn tunanufaika kupitia mahusiano
Ila pia tuna vichache Sana vya kupoteza pind mahusiano yanapookufa.
Kiufup,
Mwanamke anapaswa kudate Kimkakati sn na kutumia akili nying Sana kuliko sisi wanaume
Ety demu mgumu🤣
Njia nzuri ya Utekaji 😈Jiandae, wkend hii mimi ni mgeni wako, uje unipokee pale kituo cha basi cha mtakuja, nitakuletea mafenesi mawili, si unayapenda?
Bei elekkezi ni zipi bwashee?Mnaposema kuhonga sana huwa mnamaanisha nini??!! Maana bei zinaeleweka, isipokuwa kama unataka kujivika cheo cha wazazi wake.
wewe unampa ng'ombe majani yeye anakupa maziwa, kihere here cha kutaka kujua utamu wa majani kinaweza kukuponza
Huyo atakuwa ameona chenji zangu zilizobaki sokoniMwanamke akikufuata anasema anakupenda utamkubalia au utamkataa?
Huyo atakuwa ameona chenji zangu zilizobaki sokoni