Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwa mtazamo wako, ni yupi anayenufaika zaidi?Subiri wanakuja kukujibu
Sababu ni zipi?mkunwaji
Natamani nizeeke na wewe, na hii baridi ya huku si mchezooMmmmm mzee wa kijiji mahindi ya kuchoma yametanua utumbo mdogo nn????
Mimi binafsi sijui MkuuKwa mtazamo wako, ni yupi anayenufaika zaidi?
Kwa hiyo ni bora tuendelee kugharamika tu?Kibongo bongo IPO wazi kuwa mwanamke anaokota Sana
Usipende kutaman hovyo utatamani na visivyo tamanikaNatamani nizeeke na wewe, na hii baridi ya huku si mchezoo
Kwa hiyo unashauri waendelee kutulia nauli zetu?Kiuhalisia,
Mnufaika mkubwa wa mahusiano (yanapokua hai) ni Mwanamke
Ila pia,
Mwathirika mkubwa wa mahusiano ( yanapovyinjika) ni mwanamke
Sisi wanaume Mara nyingi tunavichache sn tunanufaika kupitia mahusiano
Ila pia tuna vichache Sana vya kupoteza pind mahusiano yanapookufa.
Kiufup,
Mwanamke anapaswa kudate Kimkakati sn na kutumia akili nying Sana kuliko mwanaume mwenzako kwny mahusiano
Umekula mchana kweli?
Wengine tumeliwa nauli sanaMnaposema kuhonga sana huwa mnamaanisha nini??!! Maana bei zinaeleweka, isipokuwa kama unataka kujivika cheo cha wazazi wake.
wewe unampa ng'ombe majani yeye anakupa maziwa, kihere here cha kutaka kujua utamu wa majani kinaweza kukuponza