Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Hujawahi kabisaMimi binafsi sijui Mkuu
Ila bro 😂😂Mnaposema kuhonga sana huwa mnamaanisha nini??!! Maana bei zinaeleweka, isipokuwa kama unataka kujivika cheo cha wazazi wake.
wewe unampa ng'ombe majani yeye anakupa maziwa, kihere here cha kutaka kujua utamu wa majani kinaweza kukuponza
Hapo siondoki ng'oooUsipende kutaman hovyo utatamani na visivyo tamanika
Inategemea unatazama vipi maisha maana kuna age ukifika unabidi kuwa mbinafsi nikimaanisha unabidi kuwa selfish zaidi na sio kwa ubaya kwakuwa wewe ukiwa financial broke au ukipata tatizo ugonjwa wa kudumu sifikirii kama hao wanawake watasimama na weweKwa hiyo ni bora tuendelee kugharamika tu?
Nini kifanyike?Tamaa zako majuto ni mjukuu
😅Subiri wanakuja kukujibu
Kwenye shoo,yupi anayesikia raha zaidi?Hilo jambo haihitaji utafiti wa kisayansi kabisa.Wanaonufaika ni wanawake.Wao akili zao kimahesabu huwa wanafikiria kumiliki mali zinazotafutwa na mwanaume.Kama na yeye ana mali hawezi kukubali ziende au hata kutumika kwa pamoja.Chake-chake,cha mume chao kwa muda fulani wakati anapigia hesabu za kutwaa vyote.
NB;Nimejikita kwenye unufaikaji wa mali/vitu/fedha nk.Kuhusu mapenzi,wote wanafaidika kama wote ni wazima kiafya/kimuitikio wa mapenzi.
Kwani ulikuwepo toka lini???Hapo siondoki ng'ooo
🙂🙂 unaliwaje nauli mkuu hauna hata sound za kulainisha manzi aje then utalipia usafiri akifika au kumchukulia uber boda kabisa??!!!Wengine tumeliwa nauli sana
Na kwanini tubebe hayo majukumu yote?Mlengwaji😁😁
Alipi kodi
Hanunui chakula
Anavalishwa
Bado anafurahishwa akipekechwa tumbua lake
Kuna jambo la kujifunza hapa; ukiamua kuwa mbinafsi, vipi kuhusu hizo huduma zingine, utakuwa uko tayari kuachana nazo?Inategemea unatazama vipi maisha maana kuna age ukifika unabidi kuwa mbinafsi nikimaanisha unabidi kuwa selfish zaidi na sio kwa ubaya kwakuwa wewe ukiwa financial broke au ukipata tatizo ugonjwa wa kudumu sifikirii kama hao wanawake watasimama na wewe
Ikiwa ushafanya Sana ngono you have to start to think other side of life.
Wote naamini wanafaidika na shoo iwapo kuna kujituma,hisia halisi,viungo vinavyoendana na kulifurahia/kulikubali tendo kutoka nafsini mwao.Kwenye shoo,yupi anayesikia raha zaidi?
Kiroho nipo na wewe tangu ulipozaliwa, sasa nataka nije kimwili kabisaKwani ulikuwepo toka lini???
Nani alikuingiza🤣🤣🤣🤣🤣
Wengine inabidi watoke mkoa mmoja kwenda mwingine🙂🙂 unaliwaje nauli mkuu hauna hata sound za kulainisha manzi aje then utalipia usafiri akifika au kumchukulia uber boda kabisa??!!!
Sasa hawa wenzetu, kwa nini wanakuwa na jeuri, usipotekeleza kitu fulani hawaji? au hawataki kupata raha?Wote naamini wanafaidika na shoo iwapo kuna kujituma,hisia halisi,viungo vinavyoendana na kulifurahia/kulikubali tendo kutoka nafsini mwao.
Madhara ya kukulia nauli yako, hayalingani na madhara ya muda atakaupoteza kwenye mahusiano yasiyoelewekaKwa hiyo unashauri waendelee kutulia nauli zetu?
Eti kiroho 🤣🤣🤣🤣Hebu njoo kimwili nikuoneKiroho nipo na wewe tangu ulipozaliwa, sasa nataka nije kimwili kabisa
Maumbile yao kiasili ndivyo walivyo.Ni namna ya kutafuta timings na kutumia uwezo zaidi wa kumsoma.Yeye anapoangalia daraja lililopo mbele yake wewe uwe umeshavuka na kumuandalia kamba ya kupandia mlima.One step ahead!Sasa hawa wenzetu, kwa nini wanakuwa na jeuri, usipotekeleza kitu fulani hawaji? au hawataki kupata raha?
WanaokunanaInafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani.
Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna yoyote ile; iwe kwa fedha,mali, nafasi n.k.
Kuhonga kumekuwa hakuepukiki, wengine maendeleo yetu yamekuwa yakisuasua kutokana na hii hali ya kuhonga sana.
Sasa najiuliza, mkunaji na mkunwaji ni nani anayenufaika zaidi?
Wanawake ndo wanafaidi sana ndo maana wanaume skuiz nao wanataka wawe wanawake kwanguvu hivyo kupelekea wimbi kubwa la ongezeko la ushoga.Inafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani.
Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna yoyote ile; iwe kwa fedha,mali, nafasi n.k.
Kuhonga kumekuwa hakuepukiki, wengine maendeleo yetu yamekuwa yakisuasua kutokana na hii hali ya kuhonga sana.
Sasa najiuliza, mkunaji na mkunwaji ni nani anayenufaika zaidi?