Hela ya chopa ndio umeona hela. Ilahela ya royo tua na rushwa ya Dpw huoni kama ni hela.Lita 1 ya Diesel ni 3510, na vyakula bei juu, alaf mwenyekiti anataka kila mkutano azunguke kwa chopa.
Kwanini hiyo hela ya kuzunguka na chopa asiitumie kuwasaidia nyie chawa wake masikini kwa kuwanunulia japo kilo mbili mbili za unga na moja moja ya sukari ili iwe chachu ya watu kukichagua chama chake katika uchaguzi mkuu?