Hela ya chopa ndio umeona hela. Ilahela ya royo tua na rushwa ya Dpw huoni kama ni hela.Lita 1 ya Diesel ni 3510, na vyakula bei juu, alaf mwenyekiti anataka kila mkutano azunguke kwa chopa.
Kwanini hiyo hela ya kuzunguka na chopa asiitumie kuwasaidia nyie chawa wake masikini kwa kuwanunulia japo kilo mbili mbili za unga na moja moja ya sukari ili iwe chachu ya watu kukichagua chama chake katika uchaguzi mkuu?
Kwahiyo kumbe wote ni wapigaji. Kwa mantiki hiyo sioni sababu ya kuja kumkingia kifua mpigaji ambae sio baba yako wala mjomba wako.Hela ya chopa ndio umeona hela. Ilahela ya royo tua na rushwa ya Dpw huoni kama ni hela.
Nakushauri usipende kuingia mitandaoni kuwatetea au kuwapigania wame za watu, utamfanya mume huyo agombane na mkewe.Tuzi lako linakuwasha wewe,utakamuliwa tu muda sio mrefu.
Ww na mm ndani katoka povu? Mtu unaandika ukurasa mzima.?
Hicho chama kilivurugwa baada ya kuingiza mamluki kwa tamaa ya fedhaSio kwamba wanachama wao hawajui kuwa mwenyekiti wao chama kishamshinda, na juhudi zake za kukijenga chama bila kuwa na makamu wake karibu zimeshindikana. Au sio kwamba wanachama wao hawakumbuki ile kauli ya mwenyekiti wao kuwa ataachia kiti cha uenyekiti mwaka huu wa 2023, baada ya kupigiwa kelele huko nyuma na wenye uchungu na chama ajiuzulu, lahasha.
Dah aisee ni hatari sanaHicho chama kilivurugwa baada ya kuingiza mamluki kwa tamaa ya fedha
Hakujitoa mhanga Copernicus ila alisema hayo wakati anafariki akijua hangeadhibiwa na Papa mtawala akiwa maiti!Kumbuka Nicolaus Copernicas aliweka maisha yake rehani alipopindua imani ya kanisa kuwa "jua ndilo linalozunguka dunia" mpaka sasa "dunia ndio inayozunguka jua". Waliojaribu kuhoji waliuawa ila yeye kajitoa mhanga ili kupata ukweli.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app