Ni kher uwape somo maana wabongo nyoso Kweli,The little man is just a kid.
Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.
Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.
Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
Kwa kuokota mijanaume tu ilmradi nionekane Nina mwanaume na nilazimishe u father figure katika maisha ya mwangu?Habari ya ubabe sijui unaitoa wapi
Unaambiwa mtoto lazima alelewe kwa namna itakayomfanya atambue yeye ni nani
Umedata wewe mbona unazungumza vitu nisivyozungumza?Kwa kuokota mijanaume tu ilmradi nionekane Nina mwanaume na nilazimishe u father figure katika maisha ya mwangu?
If I were a single Mom ningemlea mtoto wangu katika maadili ya hofu ya Mungu kwa kuzingatia Nina muexpose katika maisha ganii, marafiki wangu ni Aina ganii na hao wanaume ninaotoka nao ni wa aina ganii na why wawe na ukaribu na mwanangu kama hatupo committed.
Hamueleweki shida yenu hasa ni nini?
Mpo focused zaidi kwa kumuattack mtoto.
Utaelewa tu.Umedata wewe mbona unazungumza vitu nisivyozungumza?
Umleavyo ndivyo akuavyo, hizo drama za mama ndio zinamuharibu mtoto! Kiukweli mtoto anaharibika!The little man is just a kid.
Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.
Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.
Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!
Sawa. Fingers should then be pointed at the mom and not the child.Umleavyo ndivyo akuavyo, hizo drama za mama ndio zinamuharibu mtoto! Kiukweli mtoto anaharibika!
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Is there a kid with no father? Are you listening to yourself right now? Did these women hump themselves?You not making sense outta my shit is not my problem....
I might be contrading but na wewe pia kuna possibility ukawa self contradicting,50/50 chance!
Single motherhood is a moral disaster,ukibisha utakua mnazi tu
Wewe unatakaje jamii itoe incentive kwa bad behaviour?
Yaani unataka jamii itoe reward to single mothers who have kids with no fathers which is a tragedy?
I stand for what I believe in.Kazi yako ni kutetea vitu vya ajabu tu
Kahaba Hilo.Umedata wewe mbona unazungumza vitu nisivyozungumza?
Kiukweli arguments zako zipo more in attack mode.Kuna father na sperm donor
Wewe jibebeshe mimba kwa asietaka utegemee huyo mtu atakua baba
Stop this nonsense wewe
Plus,there are mothers with kids they do not know who exactly is the biological father until they do a random DNA test
Fvck Irene,who cares he had a marriage or not...
Mimi naongelea absence ya father in these kids...
Irene blah blah,mnamjua nyie,nachojua her alleged kid has no father figure whatsoever...thats a problem whether you like it or not!
Single mother sio window,na window sio single mother
Watoto wana emotional connection with their deceased father,single motherhood there is no emotional connections whatsoever....your kids were rejected,thats a tragedy!
Divorce is a failure btn you two,thats your problem,causing trauma to the innocent kids.This is squarely on you.You two will pay for this. Unfortunately,It is a tragedy it happens and part of us.
It is a bad behaviour
Na natural law,haitakiwi ku-reward bad behaviour.......
Wewe unataka tuingiwe huruma tuanze ku-reward bad behaviour...
Ndio tunachofanya kama jamiii,hatujui hii itaharibu the same jamii
Sawa.Kahaba Hilo.
Unapoteza muda
Wewe ni either single mama usie na akili au ni mpuuzi tu usiejua hili Wala lile.
Au umeachika , au huna ndoa.
Hakuna mtu Alie na familia akafurahia huo upuuzi wa Irene
Lazima aokote mwanamme Ili mtoto apate father figure? Hana wajomba, Hana Babu, Hana Baba wadogo?
Mtoto kosa lake ni kipi katika 'ukweli' wako?
Furthermore kumbe hujanielewa nilipokuambia am not any of those things you assumed.
I guess am wasting time arguing with a lunatic.
Acheni inshu za kishamba kuiga iga visivyoigika,unadekeza litoto kama yai hata ukiwaachia watu wakae nalo lisaa limoja tu hawawez.
Na matoto ya namna hyo yanaishiaga kuwa mateja na malaya na mabinafsi pumbavu kabsa wewe na hayo manao unayoyaelea kama mapimbi
Nikuambie kitu ndugu yangu malezi tuliyopewa na wazazi wetu sio malezi tunayoweza ku apply kwa watoto wetu 100% sasa hivi kubali kataa.
Dunia imebadilika sana. Ukimpeleka mtoto wako kibabe utampoteza.
Tunahitaji kujiweka karibu na watoto wetu Ili kujenga sense ya trust Kati yao na sisi. Trust inasaidia watoto kutuamini, kufunguka kwetu na pia kujua kwamba no matter how hard life gets they have a home to come back to.
Depression imekuwa so real, watoto wadogo wanajiua. Sababu wanapitia mengi ambayo hawawezi kutuambia kwa vile tumekuwa wakali kama mbogo.
Times have changed honey, we need to change accordingly.
Una akili sana wewe MwanamkeThe little man is just a kid.
Jitahidi kumtenganisha mtoto na drama za Mama yake.
Na ukiwa kama Mzazi/ Mzazi mtarajiwa jifundishe kuwa na control na mdomo wako when it comes to kids.
Unapowaombea wanao, waombee na watoto wengine Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda!