Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Huyu mtoto anaonekana amedekezwa na anadeka mno. He is an easy target to bullying because he's overly pampered by his mom and also because of his soft and feminine appearance. Maybe he's born gay, who knows? Same applies to Diamond's son with Hamisa Mobetto. The little boy looks gay, gay, gay.
 
Malezi ya kisasa ni makaburi kwa watoto hapo mbeleni. Mzazi asie na hofu ya Mungu na akamlea mtoto katika mazingira hayo hayo ambayo mzazi anakulia na kuishi kama kwenda ma club kwenye bar ambazo kabisa tunajua chini ya miaka 18 mtoto hawaruhusiwi , yeye ana mpeleka.. maana anaanza panda mbegu ya uharibifu kwa mtoto kwa kujua ama kutokujua, kuna wehu watasema kawaida.. Swali jepesi tu Baba zao walilelewa kama huyu mtoto ? Mungu afanye njia kwenye giza la malezi ya watoto, wazazi wa kisasa wamekuwa chimbuko la uharibifu wa ubadae wa watoto wao
 
Mbona hii ni kawaida tu mtoto kutaka kuwa nawe muda wote
 
Kama moto upo nyie watu mtachomwa moto hakii na maneno yenu mshindwe na mlegee
 
Huyo irene mmewe alifariki,unataka afanyaje
Acha kuwasemea watu vibaya
Hata kwenye ukoo wako wapo single mother wa kutosha
Na palipo na single mother kumi jua kuna single father kumi pia upoo
Ok,nimekuelewa mkuu
 
Labda awe amezaliwa Masaki
 
Naunga mkono hoja mkuu, Ila cyo kwa hao uliyowapendekeza! kwa7bu nao bado ni watoto na hoja ni mtoto kupata malezi ya baba na si mtoto kupata malezi ya mtoto mwenzie. Nasema haya kwa jazba na kwa kumaanisha Kama baba na mlezi..ili kuepuka yacje jirudia yale ya janjaro na kumbomoa mtoto kiakili badala ya kumjenga.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…