Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Connecting the dots.Shinyanga Kuna Migodi na Kilimanjaro Hai Kuna Mgodi wa Tanzanite.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Connecting the dots.Shinyanga Kuna Migodi na Kilimanjaro Hai Kuna Mgodi wa Tanzanite.
kipi hapo kinaonesha kua hiyo ni ndege ya rais iliofanya safari hizo?Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
hebu niambie ndugu, hapo ni kipi kilichokufanya ufahamu kua hiyo iliofanya safar hizo ni ndege ya raisAsante sana kiongozi kwa kutrack ujambazi unaendelea kwa kutumia ndege ya rais, hizo sehemu zina madini ghafi kwahiyo hilo dege linatumika kuyavusha bila kibali na bila bughudha na kuyapeleka Zanzibar, watanzania tuamke kutoka usingizi wa pono.
Hapana kaolewa hapa bongo na jamaa mmoja mwenye kantini pale TPA.Yule
mmachame alishambwaga kitambo alipoona mzee macho hayaoni Mara kisukari akasepa zake Oman sijui
Yup..Kweli
Mama yenu hana ajualo!,hapo lazima tufuatilie kwann,inaonekana kulala zbar Mara kwa Mara!!? Halafu root zenyewe niza maeneo potential kwa madini,ndovu n.k. final destination ya hii ndege kulala ni eidha dar au Dodoma ,maana ndiko ikulu ziliko. huko zbar vipi tena!!??
tunashindiliwa vitu vizito vichwani watz.
Kabla ya hapo tulikuwa vizuri et ee?Makosa yaliyofanywa na CCM 2015, yatalitafuna hili Taifa kwa miaka mingi sana.
Ni yapi mkuu hayo makosa, hebu nikumbusheMakosa yaliyofanywa na CCM 2015, yatalitafuna hili Taifa kwa miaka mingi sana.
Nadhani unapata mkanganyo ila neno last seen lina maana zaidiTarehe 12 saa 09:38am ilikuwa Klm/jro na saa 09:59am ikawa Zanzibar, je dakika 20 ndege yaweza kufika Zanzibar?
Nijuavyo kutoka Jro to Znz kwa airbus au dreamliner ni dkk 50 to 55 na pangaboi hadi dkk 60, je hizi taarifa zina ukweli?
Umempata wapi signalsHii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
Hii ya mwalimu. Ile ya mzee wa lupaso inaozea hanga
Ndege ya mwalimu hiiHii ndege ilinunuliwa kwa 92b?
Mzee Hafidhi ndio anaitumia.
Una swali lingine?
Hii ndege hii ni single parachute engine
Tunakushukuru mno. Lazima kuna Jambo limefichika huko. Na mleta mada ninaomba damu ya Yesu ikulinde na familia yako. I smell a rotten fish. Hiyo mikoa ni potential Sana. Usiniulize.Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
Sisiem walifanya ujinga mkubwa sana 2015Makosa yaliyofanywa na CCM 2015, yatalitafuna hili Taifa kwa miaka mingi sana.