Inamilikiwa na nani hii nchiNchi inaongozwa na vilazaππ
Mmiliki wa Tanzania ni Mtanzania. Taifa la Tanzania ni mali ya Watanzania collectively.Asalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo ? Nani hasa?
CcmNANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema
Mzee Mayala, Hapo kwenye umiliki "collectively" unamaanisha nini ? Na hao Collectively huwa wanaamuaje mambo collectively?Mmiliki wa Tanzania ni Mtanzania. Taifa la Tanzania ni mali ya Watanzania collectively.
P
CcmAsalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo ? Nani hasa?
Hahaha hao wanatumikia matumbo yao bana hata wale waliokwambia wazalendo namabari one wako wapi walitupiga sana kiuchumi tukaishi kwa hofu kuwaogopa watu wasiojulikana ambao nadhani kwasas baadhi yao tumewajuaAsalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo ? Nani hasa?
Mie Mtanganyika.Asalam,

Naomba tuchat PM kama hutojali πMie Mtanganyika.
Najali sana.Naomba tuchat PM kama hutojali π
Kuna vijana wako wanapakigi lexus V8 ya buluu pale mnazi mmoja njia ya kuelekea City centre kupitia Exim bank Clock-tower, plate number imeandikwa "Puba"... kwann unawaruhusu watufokee wananchi namna ile?! π€π ππΎNajali sana.
.Sitaki.