Asalam,
Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI?
Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye maofisi ya umma, wengine binafsi, wanasema wanatumikia TZ. Lakini ni TANZANIA YA NANI?
NANI HASA ANAMILIKI TAIFA LA TANZANI?
Na kama yuko anaemiliki, ni kwa kiasi gani anaujua umiliki huo? Nani hasa?