Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa, kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako". Prof Kabudi aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof. Kabudi ni la maana sana kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mchawi ni sisi wenyewe mambo ya kupenda sifa na kujitangaza hovyohovyo ndiko kunatuponza, kwani kwenye majukwaa ya mapokezi ya ndege huwa hatusemi ndege ngapi tumepokea na ngapi zinakuja tena kwa tarehe?
 


Hivi kwamba tunanunua ndege nayo ni siri ya kuvujishwa? Au mi ndo sijaelewa?
 
Mchawi ni sisi wenyewe mambo ya kupenda sifa na kujitangaza hovyohovyo ndiko kunatuponza, kwani kwenye majukwaa ya mapokezi ya ndege huwa hatusemi ndege ngapi tumepokea na ngapi zinakuja tena kwa tarehe?
Kutangaza tumenunua ndege siyo dhambi!
 
Total rubbish, in Tundu Lisu's voice.
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
 
Ilitangazwa na serikali kuwa Novemba ndege inakuja soma hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…