Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Tundu Lissu ndiye anayevujisha na kusababisha ndege zetu zikamatwe. Hivi nyie vijana wa Lumumba vp?! Mara hii mmesahau?!

Hawa watu wa ccm wapumbavu sana

Kila siku walimnanga Lisu ikawa ndio mtoa taarifa

Hovyohovyo hawa binadamu
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Sasa anapotosha kwajiri ya kumfurahisha nani?
 
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna siri katika international business. Tusitafute jumba bovu, bottomline ni kulipa deni. This time msipoteze muda kupeleka jopo la akina Ndumbaro na Possi na PhD zao za kugushi. Mpelekeni Dotto James mwenye uwezo wa kulipa.
 
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
Hivi USA ni mwanachama wa jumuiya ya madola?
 
Wenyewe kwa wenyewe wanakaangana mana ni mambo nyeti wanaofahamu wachache wajichunguze
 
Siri ipi alipe deni
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
[emoji3][emoji3][emoji3]kumbe na wewe umesoma??
 
Hilo ni swali alilouliza ni la kitoto sana....ni sawa upate ajali samewhere alaf useme mbona kila siku napita hapa sikuwahi kupata ajali kwanini leo??
 
Hivi haya mapesa wanayowalipa mawakili na maposho juu si wangekua wanatumbukiza kwenye kibubu cha mkulima? Na hela za kununua wabunge?
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Hayo anayajua ila anafanya kazi kwa woga mkubwa sana,ili kujionyesha kua kuna mtu anatoa hujuma kwa Tanzania.
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Mwenyewe unajidai yule jamaa mwalimu wako "Mzee wa jalalani"

Sasa anajua hayo yote kwanini hakupima na kushauri ndege zisiende nchi za jumuia ya madola sababu nchi hizo zina share hukumu za kimahakama .

Infact ubongo wake na umakini kauacha pale udsm school of law saivi every thing anacho wazi Kiko monitored and process from somewhere he is no longer palamagamba you used to know he is kalamaganda[emoji52]
 
Serikali ijikite kwenye Simu na email na Simu za kwenda kwa Lisu na kwenda kwa diaspora toka nchini.TCRA chekini Email na Simu zote za Tanzania zilizokwenda kwa Lisu au nje ya nchi nchi yeyote miezi miwili kabla ndege kushikwa
Usije kuta alievujjisha yuko lumumba pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom