Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Umeuliza swali likiwa na jibu elekezi, umepewa jibu unataka....Dr Slaa ni padre hawezi kutenda hiyo dhambi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza swali likiwa na jibu elekezi, umepewa jibu unataka....Dr Slaa ni padre hawezi kutenda hiyo dhambi!
Hapa inazungumziwa ndege sio baiskeli ama mkokoteni. Haiwezekani mtu awe anakamata hovyo hovyo midude ya mapesa mengi namna hiyo, hili ni tatizo kubwa ambalo linahitaji taarifa za kina, sio tu maneno mepesi mepesi kwamba tumemshinda, mara kuna wasaliti wanatoa siri. Kama mmemshinda ni ushindi wa aina gani? Amelipwa pesa zake? Ama kuna makubaliano gani? Kwa nini anaendelea kuzikamata?Mkulima tumemshinda mara mbili tena kule kule kwao........hapa kuna manyang'au yanacheza michezo humu humu bongo!
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Mh labda aliyevujisha ni Mheshimiwa barozi wa Canada .maana profesa alimwita kumhojiWaziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa, kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako". Prof Kabudi aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.
Swali lako Prof. Kabudi ni la maana sana kwanini Canada?
Maendeleo hayana vyama!